Search results

  1. Mchoropa

    Nisome diploma ipi ili nijinasue kutoka hapa nilipo?

    Habarini waungwana! Mimi ni mwalimu (certificate holder) Nina nia ya kujiendeleza zaidi ya hapa nilipo na natamani sana nisomee "ukaguzi wa shule" kwa kuanza na diploma! Je diploma hii itanifanya nipige hatua ya kuacha kuchezea chaki, kwa sababu mpaka sasa chaki zinaniumiza sana ( Nina...
  2. Mchoropa

    Natafuta vyuo vya urembo

    Habari waungwana, naomba mnisaidie kama kuna mtu anayefahamu chuo chochote cha urembo hususani nywele! NB: UKINIPA MAWASILIANO YAO ITANISAIDIA ZAIDI, KIPAUMBELE CHANGU NIPATE CHUO KUTOKA ARUSHA AU MOSHI@
  3. Mchoropa

    Uhamisho ndani ya mkoa

    Habari za majukumu ya kila siku wanajamvi, niende moja kwa moja kwenye point! Nina mke wangu yupo wilaya tofauti na Mimi ninayofanyia KAZI lakini tupo ktk mkoa mmoja, tumeanza taratibu za uhamisho na jambo la kushukuru tumefika pazuri baada ya Afisa elimu na mkurugenzi wake kupitisha barua za...
  4. Mchoropa

    Jipatie kiwanja kwa bei nafuu MWANZA@

    Kiwanja chenye ukubwa wa 24x26 kipo Buhongwa-MWANZA kinauzwa kwa mil.3.7 karibu tufanye biashara@ NB: Mimi siyo dalali ni mmiliki wa kiwanja husika. Mawasiliano 0655206989, 0762206989, 0787929878
  5. Mchoropa

    Pata kiwanja kwa bei nafuu-Mwanza

    Kiwanja kinauzwa kipo BUHONGWA kina ukubwa wa 24x26 bei mil.3.7 maelewano yapo, mawasiliano 0655206989 AU 0762206989
  6. Mchoropa

    Nunua kiwanja kwa bei nafuu

    Pata ofa ya funga mwaka, kiwanja kinauzwa Buhongwa tsh. Mil 4 kina ukubwa wa hatua 26 X 28 @ Wasiliana Nami 0655206989
  7. Mchoropa

    Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Nauza kiwanja 25x26 kipo Buhongwa-Mwanza, kipo karibu na huduma za Jamii! Bei Mil. 4.5 mawasiliano 0655206989 au 0762206989 Maelewano yapo kwa mwenye kuhitaji
  8. Mchoropa

    Natafuta kiwanja Mwanza

    Kiwanja cha kununua kwa pesa isiyozidi mil.3 au 3.5 kiwe karibu na huduma muhimu kama maji,umeme na barabara ndani ya viunga vya MWANZA tuwasiliane kwa 0655206989. ANGALIZO: NI LAZIMA KIWANJA KIWE NA UMILIKI HALALI KISHERIA VINGINEVYO USIJISUMBUE@
  9. Mchoropa

    Sengerema kuna nini???

    Hongera sana ewe mwalimu mwenzangu ambaye umemaliziwa pesa yako ya kujikimu pamoja kupata mshahara wa mwezi april, hali ni tofauti sana na huku kwetu halmashauri ya wilaya ya SENGEREMA! Pesa ya kujikimu tulipewa ya siku tatu tu na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kumaliziwa pesa hizo, achilia...
  10. Mchoropa

    Ajira za walimu

    IFIKE mahala siasa kama taaluma iwe na mipaka yake. Haiwezekani kuingiza siasa mpaka kwenye masuala nyeti ambayo ndiyo dira ya TAIFA! Hivi viongozi wetu ktk serikali mnawaza nini kuhusu ajira mpya za walimu??? mmetoa ahadi nyingi ambazo walimu wamekua na imani nazo na kuwataka wawe na subira...
  11. Mchoropa

    Usiri katika ajira za walimu mpaka lini???

    Kadri siku zinavyozidi kwenda ndyo hali inazidi kuwa tete, hakuna mwenye taarifa rasmi kuhusu ajira mpya za walimu kwa TAIFA ambalo lina upungufu mkubwa wa walimu na mipango kadha wa kadha ambayo msingi wake mkuu hutegemea walimu! Kuna kitu gan kinachopelekea usiri huu??? ni vyema kuweka wazi km...
Back
Top Bottom