Sio wanafiki bali pengine hawakupewa nafasi ya kusikilizwa hoja zao.Kwa ukali wa kiongozi au hata baba nyumbani huwa mtu au mtoto anaogopa kusema jambo pengine kutokuwa na uhakika litapokelewaje.Wanaongea ambayo waliamini yako sawa kwa wkt ule na sasa.Kama barakoa kwa mfano kiongozi hajavaa...
Tukifikia nje ya box.Je huu ni muda sahihi wa kuifanya Chato kuwa mkoa kama ambavyo inatakiwa kwa hoja mbalimbali za kiuchumi,kijamii na maendeleo ya sehemu na idadi ya wakazi.? Kama ni kumuenzi kiongozi aliyepita tukubaliane tumuenzi kwa kumalizia aliyotaka hapo ilipokuwa asili yake regardless...
Kilichomfikisha hapo Fred ni mapambano yake kibiashara na elimu inayomsaidia kukua siku hadi siku.Hisoria yake inambeba kuisimamia idara ya fedha.Shida wengi wetu tunajadili kiubinafsi na wivu wakati mwingine.Bora hata akae at least mwaka kisha tujadili mapungufu yake.Mtu hata wiki mbili hana...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu utendaji wake hata clip za wafanyabiashara mfano mmiliki wa Weruweru lodge alitamka hadharani kuhusu kulazimishwa kutoa fedha.Lema alisema sana kuhusu tuhuma mbalimbali.Tuache mkondo wa sheria na haki tuone hatma yake.Ila kikubwa " guilty until proven innocent"
Hivi ukishaacha dhambi na ukatenda mema utakuwa na uhakika kwenda mbinguni sio.? 'Hii ndio ile 'mountaintop " aliyoisema Martin Luther Jr. Anaijua safari na atafika kwenye promised Land.
Kwa uhakika gani kwamba wengine si wajumbe wa Tanzania bara waliompigia kura Nahodha na mwenzie.Hoja ni kwamba pengine Mwinyi halikuwa chaguo la wazanzibari wengi au vinginevyo Ila hii probability yako haiko sawa
Kiuhalisia ni gharama kubwa sana maana tofauti ya 76,000,000 inajenga Nyumba nyingine ya kisasa kabisa.Nyumba kama hizo hugharimu chini ya 50,000,000 kwa kuwa built up area ni ndogo Vyumba ni vidogo,headroom fupi na eneo linalobaki pembeni ni dogo na mnabanana sana.Malezi ya watoto yanaathirika...
QUOTE]
Wakati mwingine vituko kama hivi wasifanye viwe habari.Watulie wasake kimyakimya maana udhaifu huu na tafsiri yake baada ya kusambaa inafikirisha watu zaidi na mawazo yanaweza kwenda mbali zaidi.Utasikia hajakamatwa mtu pengine ni upepo wa kisulisuli ndio umepita ofisini kwa DPP.Tutaona...
Uwepo wa Membe ulikuwa na tija gani katika ukamilifu wa dhifa hii pamoja na kuhudhuriwa na viongozi uliowataja.Orodha ya wastaafu umeipata wapi ukamkosa Membe pekee ? Ubora wa mkutano na shughuli zingine kama zinaendelea sawa hazijakwamishwa due to his absence then usijichoshe na mambo...
Usalama wa kiongozi kama Lissu na shughuli za aina yake katika nchi hii kwa sasa na pia madhila aliyopitia ni kipaumbele kikubwa akizingatia pia thamani ya maisha yake na familia yake ikiwa atadhurika kwa mara nyingine.Mungu alimpa nafasi ya pili as it was a miracle kuweza kusurvive ile...
Kama akifanikiwa hili likatekelezwa na DPP japo naamini kwenye mwenendo wa kesi za ina hii hakuna kuomba msamaha na kuachiwa itadhihirisha mhimili kubaki mmoja tu kwenye uongozi wa nchi japo kwa upande mwingine ni jambo jema kuwasamehe.Na kwenye mahakama kuhusu kesi zingine itakuwaje kama msingi...
Najua alikuwa anajua awali ila kuliibua suala la maelezo ya Polisi na uhalisia wa tukio kutofanana kuhusu utekwaji wa Mo ambao ulizungumziwa na tangu awali na ukizingatia mazingira hayohayo yanaonekana tukio la Lissu,ni majibu pekee ya maswali yale magumu ya mazingira tata yatakayoweza kusafisha...
Kuvamia bunge maalum la katiba kuwachapa bakora wabunge wa ccm na 201 vibaraka wa ccm kisha kuwalipa 50000 kama posho,kumtoa sitta na kumuweka Godfrey lema tumalize fasta mchakato
Very true!
Udini ni jambo baya na haingii akilini mtu kuja na ishu kutupa habari unaileta kiupambe sijui ni uelewa mdogo au ndio waumini mnatafuta JF.Its sad kama una familia......they are unlucky having u.So what
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.