Search results

  1. Einstein

    Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

    Thanx All.. Nitampata tu kokote alikojificha.
  2. Einstein

    Usiamini mtu yeyote, imenitokea soma itakusaidia

    Ilikuwa ijumaa majira ya saa mbili jioni, nilipokea simu ya rafiki yangu wa karibu akanambia yuko Mlimani City akanambia anahitaji kuonana na mimi maana kesho yake alikua ana "interview" kwa hiyo alitaka kupata uzoefu wangu wa "interview". Nilikuwa nimechoka, ila sikusita, nikamkubalia aje ili...
  3. Einstein

    Nichukue PCM au PCB, naomba ushauri wako

    Nakushauri usisome ili upate ajira au pesa. Soma ujue vitu na upanue uwezo wako wa kufikiri. Kitendo cha kusoma ili upate ajira, inaweza ikakutesa baadae. Jitahidi kusoma ujue vitu na maswala. Ajira au Kujiajiri kutakuja tu. Cha msingi angalia ni kitu gani unakipenda, na kitakufaa katika mambo...
  4. Einstein

    Php programmers

    Mr hbi please naomba msaada wa ku configure yii, ili yiic comand iweze fanya kazi. Nimejaribu kufata maelekezo lakini bado sijafanikiwa..
  5. Einstein

    Php programmers

    Thanx.. i am going through both.. i hope by january 1st i will be familiar with the yii framework. I have been wasting much time developing from scratch. I think now i will be in the good position to develop kinda faster.. Thanx once again for the inputs..
  6. Einstein

    Php programmers

    Thanx.
  7. Einstein

    Php programmers

    Hi, am also a php programmer and am interested with the yii framework. I have been developing from scratch for a long time. I am now looking forward to adapt the frameworks. Please mail me that book to jonbalele@yahoo.com Thanx in advance
  8. Einstein

    IT Project Kwa Vitendo

    Guys I developed an application which is almost the same to this idea. Just today I saw this thread and I was like what a coincidence. I am in the process to keep it online. I implemented four categories and more to come, because already the code is available it is a matter of adding more...
  9. Einstein

    Changamkia hizi ajira haraka

    Hi? Can u give a little more information about the company profile so that we can understand what is it about. I am interested to join your company, but let me know what your company does. I am a Web developer (PHP etc), deployed three applications (2 PHP projects), BSc Computer science...
  10. Einstein

    VYUO VIKUU HAVIFUNDISHI IT BALI UBABAISHAJI tu!

    Tuna safari ndefu, ila tukomae I hope tutafika.. Wahindi katika IT wamepiga hatua kubwa sana! Cha msingi ndo kama ulivofanya wewe, umejituma na ukavifahamu vitu.. Wengi wetu (watanzania) tunapenda vitu vya shortcut, hatutaki kujiendeleza kabisa..
  11. Einstein

    Sababu za kusoma India na si Tanzania wala US!!!

    Natamani angefufuka lakini ndo hivo tena.. Ilishatoka..
  12. Einstein

    VYUO VIKUU HAVIFUNDISHI IT BALI UBABAISHAJI tu!

    Naomba kutofautiana na wewe kidogo. IT Kwa sasa ni eneo pana sana tena sana. Ukiitwa mwana IT haimaanishi ni lazima uwe unafahamu kufungua computer kujua ndani imetengenezwa na nini. Ila tu, kama huyo mtu angekua ni mwanafunzi wa Computer Engineering au course yoyote yenye kuhusika na hardwares...
  13. Einstein

    Faida za kusoma D.I.T-Computer Engineering

    Inawezekana.. Kuna rafiki angu alikua PCB, akaingia Computer science na alisha graduate!! So, kwa EGM ni possible kabisa, ingawa sina mfano halisi wa mtu aliekua EGM na kwenda Computer science
  14. Einstein

    Faida za kusoma D.I.T-Computer Engineering

    Sifahamu vizuri kuhusiana na Computer Engineering DIT, lakini naweza sema kwamba DIT is one of the best Technology institution Tanzania.. Ni mahali ambapo kwa kweli vijana hupikika, kama kweli uko determined.. Swala la kuwa fiti katika career yako limegawanyika katika maeneo kadhaa... 1...
  15. Einstein

    Natafuta kitabu: Effective methods for software testing 2nd edition by william e perry

    Hi wana JF, naomba msaada wa PDF ya kitabu tajwa hapo.. Nimejaribu kukitafuta google nimeshindwa kukipata, napata 3rd edition, ila nakihitaji cha 2nd edition..
  16. Einstein

    Kilimanjaro (KIA) : Qatar Airways new Destination

    Nimeona kwenye facebook page yao, kwamba kuanzia mwezi wa saba mwaka huu, ndege zitaanza kutua Kilimanjaro pia.. Hongera Qatar https://www.facebook.com/qatarairways
  17. Einstein

    OCA & OCP IT Certifications in Tanzania

    Habari wana - JF, Kwa wale wana-IT napenda kufahamu mahali na gharama za mitihani ya (Oracle Certified Associate)OCA na (Oracle Certified Proffesional)OCP Tanzania Pia ni mahali gani naweza fanya hii mitihani?
  18. Einstein

    Wanaopata div 1 za necta ndio wanaongoza kufeli vyuo vikuu

    Usi-generalize! Si wote wanafeli vyuoni, na si wote wanaiba mitihani..
Back
Top Bottom