Search results

  1. Ally maganga

    Wanaume mnakera sana

    Single mother again
  2. Ally maganga

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Waulizeni vizuri watoto zenu. Wengi wao hupendelea kwenda chuo hivyo wakati mwingine hufanya application pasipo wewe kujua. Kumbuka hao jamaa wanafanya matangazo Sana. Pia Wanafunzi Ni Kama nyumbu.
  3. Ally maganga

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Hapo pia inaweza kuwapata wenye changamoto ya uzazi. P2 washakula vyakutosha Hadi matumbo yameota SUGU
  4. Ally maganga

    Vijana tuacheni kubeti, kindege (aviator) kimenimaliza milioni 7 yote ya mtaji

    Ungempa Yanga, mamelod, man city,Barcelona. Ungekuwa milionea
  5. Ally maganga

    Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Huo ndio ukweli! Wanaokataa ndoa wote asilimia kubwa wanakuwa mash*ga. Mwanaume wa kweli utakataa vipi ndoa? Kama hutaki kuoa basi jiandae kuolewa
  6. Ally maganga

    Ofisi ya Msajili Bodi ya Maabara Binafsi za Afya yasema inafanyia kazi Madai ya Maabara kutoa majibu ya Uongo

    Acha na hizo! Mgonjwa akipimwa kwenye maabara ya hospital binafsi huwa hapewi karatasi ya majibu yake Kama dawa hajanunua hapo.
  7. Ally maganga

    Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

    Uzuri wa single mother wako cheap sana hasa wakiwa hawana hela za vicoba
  8. Ally maganga

    Je Tigo wanafanya sensorship kwa baadhi ya maneno kwenye msg tunazotuma?

    Hata ukituma meseji ya hela ikiwa mtandao tofauti inagoma.
  9. Ally maganga

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Keka la leo. Yanga win (-1.5) Bayern win (-1.5) Madrid win (-1.5)
  10. Ally maganga

    Kilimanjaro: Mfanyakazi wa ndani auawa kwa kipigo

    Wamama wengi huwanyanyasa wafanyakazi wa ndani. Mmama hana aibu kutwa kucha kuzurura tu kazi zote anamuachia mtoto wa miaka 10-15 kisa anamlipa mshahara. Yaani mtoto alelee mwanao,achote maji, afue chupi zako,boxer za mumeo na nguo zako uoizotoka kuzini nazo afu mshahara wenyewe unampa kwa...
  11. Ally maganga

    Kilimanjaro: Mfanyakazi wa ndani auawa kwa kipigo

    Ukishakuwa mbinafsi= mkatili.
  12. Ally maganga

    Hivi ni sahihi mtoto kufukuzwa shule ya msingi kisa hajui kusoma na kuandika?

    English medium schools nyingi huanza kufundisha kusoma na kuandika kiswahili watoto wakiwa darasa la tatu. Je, huyo mtoto alikuwa anasoma somo la kiswahili darasa la kwanza la pili?? Ushauri: Mtafute mwalimu mzuri wa tuisheni wa nursery akusaidie.
  13. Ally maganga

    Simba robo fainali CAF kukutana na CR Belouizdad, Kaizer Chiefs au MC Alger

    Caf nao wakuda sana. Draw tarehe 30/4. UEFA kesho tungeshajua tunakutana na nani. Caf ni JIPU
Back
Top Bottom