Search results

  1. Marco Polo

    Waziri Jelly Slaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Hata yy ni mwanasheria
  2. Marco Polo

    Yahya Sinwar akagua vikosi vyake Gaza. Apigiana simu na viongozi wa Hamas walio nje

    Labda Sinwar wa Buza ila kama ni huyu huyu wa Gaza hata kutoa kichwa tu huko aliko shimoni hathubutu.
  3. Marco Polo

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Kama hujui basi hao police ndio majambazi wenyewe.
  4. Marco Polo

    Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

    Mvua sio kubwa ni ndogo ila inanyesha kwa muda mrefu bila kukata.
  5. Marco Polo

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool kabla ya game ya FAcup na Man U walikuwa moto kweli ila baada ya kufungwa hiyo mechi Toka hapo wamepoteana kabisa.
  6. Marco Polo

    Wachaga: Nini maana ya neno hili

    Daah mkuu !! 2015?? Nimeamini mapenz yanaweza kukufanya ukachizika maana nilichokiandika hapa kwa akili nilizonazo sasa siwez kuthubutu kuandika
  7. Marco Polo

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Viongozi wa CCM Huwa wanatuchukuliaje wananchi? Mazombi? Watoto? Primitive society? Ama?
  8. Marco Polo

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    Wabara wakiwa Zanzibar wanachukuliwa kama wanyasa .wakiwa bara. Ww piga kazi tu uzuri hata wao wenyewe wazazibar wanajijua ni wavivu wakutupwa. Kuna ofisi moja nilishawahi kufanya kazi huko Zanzibar boss wa hiyo office ambaye ni mpemba anawakandia waziwazi wazazibar wenzake kwamba ni wavivu...
  9. Marco Polo

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    An Akiwa anawatafuna ndio anawarekodi probably ni viongozi wa CCM.
  10. Marco Polo

    Huu uvaaji wa Millard Ayo kwenye msiba wa Gardner umenishangaza sana

    Naongezea, sasa hivi mvua zinanyesha matope Kila sehemu pia wao ndio walikuwa wabebaji wakuu wa jeneza la marehemu sasa ukijumlisha na pirika nyingine msibani lazima uvae kikazi.
  11. Marco Polo

    Kamanda Muliro: Malisa GJ, Boniface Jacob wakamatwe kwa tuhuma za kupotosha taarifa za kifo cha Robart Mushi

    Labda walitaka kuufanya uwe cadaver ( dead human body used in scientific and medical research). Bure kabisa Hawa jamaa yaani wamekaa na maiti karibu week 2 bila kutoa taarifa wanaona sawa tu.
  12. Marco Polo

    Mauaji ya Robert Mushi ndugu wa aliyekuwa Meya wa Ubungo Boniface Jacob polisi wanahusika?

    Jitahidi uwe unasoma habar kwa kina kabla ya kukurupuka kuandika utajidhalilisha bure
  13. Marco Polo

    Upasuaji kwa wajawazito imekuwa kama lazima, ni kero kubwa

    Mtoa mada ana hoja naomba asikilizwe msimdhihaki tafadhali maana hili jambo la C/S siku hizi linatafakarisha sana.
  14. Marco Polo

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    South Africa na ni mwandishi wa habari za michezo hasa soka.
  15. Marco Polo

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yale makelele ya "Arteta sio kocha" mbona siyasikii? Tuache ujuaji kwenye professional za watu.
Back
Top Bottom