Search results

  1. S

    Orodha ya watumishi waliohakikiwa

    naombeni jamani ya mkoa wa tanga na geita
  2. S

    Mambo ya kuzingatia katika kuchagua mwenza wa maisha

    kwa nyakati tulizo nazo ni ngumu sana kumpata mwanamke wa aina hiyo kwa sababu unaweza ukamuona mpole lkn kumbw kwa wanaume chiriku anapenda kushobokea, wanaume sana anapenda makubwa, wivu kwa sana, hawezi kuzuia hisia zake n.k.........
  3. S

    Umuhimu wa Kiarabu kuwa lugha Rasmi Tanzania

    Hata kichina nacho kimeshika hatam yaani bidhaa zao nyingi lazima waweke japo kaneno kamoja ka kichina lugha nayo inaishi na chochote kumalizia kinachoishi hukua, na kufa hivyo kiswahili lugha yangu adhwiimu ni kiswahili na siyo kiarabu bali kwani kimekopa maneno ya kiarabu kama kingereza...
  4. S

    Sponsorship za vyuo vya kilimo

    jamani mimi ninatatizwa na taarifa ya NACTE kuhusu wale waliokosa kuchaguliwa katika vyuo walivyoomba eti ni KUKOSA NAKALA YA MATOKEO. Je katika form ile kuna sehemu ya nakala ya matokeo? naombeni msaaada ndg zangu.
  5. S

    Naomba ushauri kuhusu petroleum engineering na geology

    fuata ushauri wa #mu_sir utafanikiwa na wala hutajuta
  6. S

    Clinical officer vs medical laboratory

    jamani kwani qualification za kujiunga na vyuo zipoje?
  7. S

    Uhamisho December 2014

    Naombe mwenye tetesi ya uhamisho dec 2014 anijuze make akili imenock kwani shule zinafunguliwa lkn tamisemi wapo kimya!
  8. S

    Kanda ya ziwa wanawake wa kisukuma ni wife material

    kila sehmu kna matatzo yake hko kwa waskma mnao wasifia leo hii ukifka waweza lala na wnawke hta 6 kwa usiku 1 home kwao
  9. S

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

    jamani naombeni mniangalizie jina RHODA C SAMSON kutoka chato geita make nimeangalia mpaka jina la 2780 majina yakaisha
  10. S

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

    Kaka tafadhalin jama nawaombeni mnichekie RHODAH C SAMSON kutoka chato geita kama vip nijuzeni hata kwa 0787746954
  11. S

    Uhamisho wa watumishi wa Serikali za Mitaa Juni 2014

    Jamani chondechonde naombeni mniangalizie_ RHODAH c SAMSON_kutoka CHATO geita
  12. S

    NECTA , ni kweli utavuna ulichopanda ?

    Mbona kuna mitihani hakufanya mkuu? mitihan gani mkuu na matokeo yake kwa ujumla yapo je? division ngapi? naomba mnijuze. Saumu abdalah, kisaba sec lushoto tanga.
  13. S

    Wadau matokeo J.mosi hii kwa wale wa Form 4

    Mwenyetaarifa anijuze matokeo ya mdogo wangu jina saumu abdalah shule kisaba sec ipo lushoto tanga.
  14. S

    NECTA , ni kweli utavuna ulichopanda ?

    naombeni mniangalizie saumu abdalah "kisaba sec school lushoto tanga
  15. S

    Jiji la Dar ndio linaongoza kwa kuwa na wanawake wengi wenye vitambi

    wenyekupata elimu wamepata na wengine kuzozana ivoivo. mfano mshikaji aliyetoa namna ya kupunguza tatizo.thanx member
  16. S

    Nimechanganyikiwa mwezenu

    we dada hee! komaa na uliemfuata cm ikazima ukarudi.kwan jamaa kaepusha msongamano inaonesha mazungumzo yalikuwa na ushahidi wakutosha wa kuvuliwa ch...! pia sio mara ya 1 kachoka.docta jisimamie usirudi nyuma kuuchukua UKIMWI.
  17. S

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Tusaidiane wote kuhusu hili kunyimwa barua ya uhamisho wakati tamisemi wamekuruhusu eti mpka uliyebadilishana naye aripoti. je ma DED wote ktk halmashauri wakiwa na msimamo huo uhamisho wakubadilishana una maana tena?
  18. S

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Na vipi kuhusu barua!!? maana wengi wanalalamika hawajapewa barua zao. mfano chato wanawambia hazijafika. na hata zikifika waliobadilishana hawatapewa mwenzake aripoti ndipo aruhusiwe. je hii ni harali? na kwingine vip mchakato unaendelea vizuri?
  19. S

    Mchwa Lushoto wanaimaliza barabara ya Kitivo - Tewe

    Duu.........uh!!! hata mfereji mkuu wa kutoka mto muinga hadi mkundi lunguza na wanaoharibu mambo ni kuanzia ded, engineer wa wly na watendaji na wenyeviti wa vjiji vyote katika eneo lile na mfereji huu ni muhimu sana hadi serikal kutoa mamilion yake
Back
Top Bottom