Somalia wana import nn? Au congo? Very lower level of thinking, kukua kwa import kunaendana na demand for dollar baada ya kuongezeka uzalishaji, congo inaweza ikawa juu coz higher mineral export as opposed to tz
Ni kweli, but ni chuo bora kwa walimu vichwa, wanafunzi wenye akiri nyingi, walimu wa udsm hawategemei mishahara, kazi yao kubwa ni research za world bank, eu,undp etc, walimu wanauwezo mkubwa kufanya consultancy na uwezo mkubwa wa kufanya research. Ondoa shaka ndio maana kinaongoza africa...
Jk yupo juu, wanampinga wengi ni machadema yenye uroho wa madaraka, na wafuasi wake wengi ni vijana wahuni wanaoshinda facebook, hata kazi hakuna, fanyeni kazi acheni umbulura, kazi unafiki tuu na malawama,mwacheni jk afanye kazi,amefanya mambo makubwa.
Mkuu mbona hilo jibu liko wazi, mishahara itakuwa sawa, bila kuangalia experience, serikali inalipa kulingana sera zake, na mawaziri wote wana mishahara sawa but malupulupu yatatofautiana kulingana na wizara aliyopo.
Ww mjomba umenisikitisha sana, sijajua una kiwango gani cha elimu, taasisi za serikali zinalipwa kutokana na public service scale and is not profit organisation ambazo nyingi wanslipwa kulingana na ugumu wa kazi, kwa hyo rudi shule usome utapata uwezo wa kupambanua mambo. Vile vile kiwango...
SAUT sio chuo, ni secondary. Vyuo ni UDSM,SUA , MZUMBE na UDOM ukishindwa kabisa kasome IFM au IAA. Umeenda choo cha kike, SAUT ni chuo cha wanafunzi waliopata division 3 na 2 za mwisho. Ila jitahidi umalize mwaka wa mwisho, masters kasome UDSM uimprove cheti chako cha SAUT
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.