Search results

  1. Bhbm

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Pole mzee baba. I can feel it. Hapo dawa namba moja ni kukusanya ushahidi wote na ukae naye kwa utulivu bila hasira na umwambue ukweli wote wa yote unayoyajua kuhusu mahusiano yao. Piga moyo konde brother, then kubaliana na maamuzi yoyote atakayochukua mkeo, iwe kuachana au yeye kukiri kosa na...
  2. Bhbm

    Tathmini ya Mahojiano na Rais Magufuli: Pascal Mayalla aongea Star TV

    Hahahahahahaaaa dahhhh sikutegemea kucheka hivi aisee dahh Hahahahahahaaaa
  3. Bhbm

    ATCL kuanza na kosa la kwanza

    Tatizo sasa hujui hata matumizi ya H yanafaa yawe wapi, hapo ndipo ninapopata mashaka na uelewa wako. Asante
  4. Bhbm

    Mtatiro aumbuka

    Unaandika zambi badala ya dhambi, hapo ndipo nilipoacha kusoma post yako.
  5. Bhbm

    Wasichana wananipenda kupita kiasi

    Una dalili zote za ushoga.
  6. Bhbm

    Makampuni mengi ya watu binafsi hayathamini waliosoma Masters Tanzania

    Heading na contents ni vitu viwili tofauti
  7. Bhbm

    Alininyanyasa sana nilipofukuzwa kazi, MUNGU ameniona, sasa yamegeuka

    Duh! Pole sana mkuu. Hawa viumbe tunaishi nao kwa Neema tu, ila ni wabinafsi na wakatili sana. Kaka hapa wewe ndo muamuzi wa mwisho coz unajua mapito ulopitia, watu wengine watachukulia kirahisi tu.
  8. Bhbm

    CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

    Rudi kwanza shule ukajifunze kiswahili halafu ndo uje upost huo utumbo wako hapa. Shule yenyewe umeungaunga halafu unakimbilia kupost uozo hapa ukitegemea wenye akili timamu wasome. Miccm inataabu kweli nchi hii. QUOTE=R.B;12599943]Chama kikuu cha upinzani chadema baadhi ya viongozi ; aswa...
  9. Bhbm

    Kifo cha Kapt. Komba, funzo kwa wanasiasa

    We jamaa ni kilaza sana aisee dah! Halafu una imani za ajabu sana.
  10. Bhbm

    Shamba linauzwa Malinyi-Morogoro.

    Malinyi iko wilaya ya ulanga morogoro. Unapita Ifakara na kuvuka mto kilombero then unaenda malinyi. Ni shamba jipya halijawahi kulimwa. Ila linafaa hata kwa mifugo kwani maji yapo jirani sana
  11. Bhbm

    Shamba linauzwa Malinyi-Morogoro.

    Wakuu nauza shamba nzuri, liko kwenye halo ya unyevunyevu wakati wote. Ni lenye ukubwa wa hekari 20 na kila moja ni 70,000. Ni mashamba yaliyopimwa na serikali ya kijiji. Kama utahitaji basis ni PM au nitafute kwa no. 0716 888288
  12. Bhbm

    Nimepata A usaili wa Utumishi, lakini sijachaguliwa

    Mkuu tulia usihofu watakuita tu. Je ulifanya oral interview? Kama ulifanya basi watakupa kazi siku isiyo na jina. Uwe unafuatilia barua posts. Nakwambia hivyo kwa kuwa ninauhakika na uzoefu na ninachoongea.
  13. Bhbm

    Magumu gani umeyapitia/unayapitia katika kutafuta kazi?

    [ Nakuombea sana Mungu akusaidie update kazi yenye kipato cha uhakika Dada Maria. Usikate tamaa endelea kumuomba Mungu kwa imani, zamu yako itafika. Nimeguswa sana na story yako. UOTE=maria cruz;10777240]mh!jamani maisha ni balaa,kumbe kaz ni kla k2 ndg zangu hasa kwass masikin,mwenzenu...
  14. Bhbm

    Starlet inauzwa

    Kuna watu huwa wanapenda kujichanganya wenyewe mkuu, achana Naye huyo. Ukute ashavimbiwa ugali wa shemeji basi hana kazi ila kukosoa kila post humu.
  15. Bhbm

    Starlet inauzwa

    hizo picha nyingine wakuu.
  16. Bhbm

    Starlet inauzwa

    Wakuu habari za majukumu. Nauza gari Toyota Starlet, iko kwenye hali nzuri sana, kwa maana kwamba haijatumika tangu iagizwe toka Japan. Imetembea 124,881 km, engine capacity ni 1330 cc. ina seats 5 na milango 4. Ina rangi ya Dark-blue. Bei inaanzia 7.5m. Kama unahitaji please ni Pm au nitafute...
  17. Bhbm

    Starlet Inauzwa

    Sijakulazimisha mkuu kama hutaki so uache tu mkuu.. Usifanye mambo kimazoea. Anayetaka atakuja na tutafanya biashara.
  18. Bhbm

    Starlet Inauzwa

    Mi naweza kukupa kwa 7.5 ila utasajili mwenyewe. Chini ya hapo no hasara mkuu, gari zipo juu sana saivi.
  19. Bhbm

    Starlet Inauzwa

    Wakuu ninauza Starlet ya mwaka 1998, cc 1330. Imetembea km 124810. Haijasajiriwa na wala haijatumika hapa nchini. Ina milango 4 na seat 5. Inarangi ya dark-blue. Bei ni 8,000,000 mpaka usajili. Pungufu ya halo utasajili mwenyewe. My no. 0716888288
  20. Bhbm

    Nimekolewa na mke wa mtu jamani

    Duhhh....!!!!!!
Back
Top Bottom