Search results

  1. M

    Mgomo TIcts watikisa

    jamani nchi acheni tu , lakini mungu mkubwa turejee yaliyomkuta gaddafi , wazungu wanatanua nchi hii acha tu
  2. M

    Wilson Mukama: Public and Private Profile

    nduka Hiyo picha inatutisha wengine please itoe , kichefuchefu Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrh:love:
  3. M

    Waziri Mkuu Pinda asitisha utekelezaji wa agizo la Magufuli la Bomoa bomoa

    Kiukweli sishangai kwa mtu kama pinda kutamka hayo , ni mtu anayeropoka tu any way tuachie hapo maana ke anaudhi kama nini mpaka tunamkumbuka eddyL
  4. M

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Ningeweza kuongezea hapo kwamba matatizo ya jk ni pamoja na hilo la chuo pili kabila na mazingira aliyolelewa kiuongozi ni mwimba taarabu tu Natambua mvutano utakuwa mkali ila ukweli unabaki palepale tu kwa udsm ni pango la vilaza si watu makini hata kidogo they lack sense of leadership
  5. M

    Disturbing photos from the 'Gongo la Mboto' blasts

    inasikitisha sana na sielewi kwa nini hawa watu wasiachie ngazi , hawamwogopi hata mungu jk nae ingekuwa nchi za magharibi angeachia ngazi God bless us
  6. M

    Shellukindo na Kamati Yako Mmepatwa na Nini?

    Hukuna mpambanaji hapa ni wivu na makelele kwa waliokosa nafasi za ufisadi Tanzania ya watanzania kama jana leo na siku zote amina Tusubiri wazee wote mungu awachukue ndo tujenge nchi
  7. M

    Benjamin Mkapa on BBC HardTalk (Video)

    nyauba umeongea big up!!
  8. M

    Prof. Mbele na hoja zake: Amfagilia JK

    Jamani huyu profesa ni wakuachana nae ana matatizo si bure!!! Ananikera sana nachelea kusema huo uprofesa ni wa mashaka
  9. M

    Wana CCM naomba mhalalishe picha hizi

    The BOSS Nami nachelea kusema mjinga mkubwa huyu!!! am very upset loo!!! mashi ako!
  10. M

    Zitto ajutia kuingia kwenye siasa?

    Zito njaa inamsumbua na utoto pamoja na uha
  11. M

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    ngeleja ni tatizo hapo wala wasimwogope yeye nani nchi hii ni mwizi tu nae urafiki wao na JK ndo watanzania tutaumia sana
  12. M

    Asilimia 40 ya bidhaa nchini ni feki

    Dr. Magufuli ni moja ya viongozi mahiri na shupavu sana, ila wanaompinga hawana sera pengine ni wale wale wasiopenda uongozi makini swala la nyumba za serikali ni siasa tu na si magufuli kwanza mjadala haupo tena Nani asiyejua kuwa wanamubania kwa kumpa wizara zisofahamika na badala yake...
  13. M

    Kikao cha CCM: RA Atema Cheche "Nitajiuzulu...."

    kazi ipo sololo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mzee six upo mpe maneno magumu huyo mhabeshi kwanza si raia wa tz, ana kivuli cha jeikei huyo lakini nchi ni ya watanzania wote
  14. M

    Ten most powerful people in Tanzania!

    sijaelewa vigezo vya hiyo lisit
  15. M

    Defining, Refining and Understanding Zitto Kabwe

    naona kichefuchefu kuona watu wa ccm wanajitokeza hadharani na ku-argue!!!! Hawataki kuelewa nchi hii haitapiga hatua , namkumbuka Jerry rowlings yeye aliamua kuwafungia kazi mafisadi
  16. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    zitto umenena kazi ipo kwa wabunge wa ccm. kwanza concern yao kuwa bungeni ni ulaji tu na si vinginevyo
  17. M

    Dr. Mwakyembe Vs. TAKUKURU

    kwani kuna tatizo gani kwenda kuwasikiliza, hofu ya nini? jamani hawa wanasiasa wanatuchanganya sana ni wala rushwa sana , hakuna cha wapambanaji wa ufisadi hapa ni wote mafisadi kwa ujumla wao ningewaelewa hapo bungeni kama wangekomaa na hata kujiuzulu kama alivyofanya mrema , serikali chafu...
  18. M

    David Jairo wa IKULU

    simjui sana Jairo ila inaonyesha jamaa anipeleka nchi kishkaji sana achilia mbali pengine competence ya mtu lakini tuangalie mlolongo wa washkaji zake jamaa yetu hawezi kuwawajibisha, hiyo ni weakness ya kila binadamu kuoneana aibu noma sana hili nchi linavyoongozwa!!! mimi nasikitika sana...
  19. M

    Kesi ya Liyumba: Wadau mnasemaje?

    Wadau siielewi vizuri hii kesi ya Liyumba ni njisi gani hakimu aliweza kutoa maamuzi Cheo chake naona kwa maamuzi kama yale ni kama haiwezekani
Back
Top Bottom