Search results

  1. Kbd

    TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    May the Almighty God give them ( Masoud and his wife together with the entire family) the Grace to endure the very painful loss of their beloved son, so i pray. My sincerely condolence.
  2. Kbd

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Daah........hii habari imenisikitisha sana. Kwa kweli we have a long way to go na ninaamini tutamaliza na Mungu tu. Pole Mr. Melo, mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ili urejee kuungana na familia yako.
  3. Kbd

    Jinsi ya kutumia whatsap mbili kwenye simu moja

    Nje ya mada: Naombeni msaada: Nilitumiwa ile app ya wasap ya bila internet......sasa wakati nasajili kwenye simu, sehemu ya kuweka namba ya simu nikachanganya nikaweka namba ya simu nyingine badala ya ile ya simu ninayoisajili. Imekataa kufanya kazi inaniambia hakuna ofa hiyo kwa huku nilipo...
  4. Kbd

    Nalalamikiwa, nimfanyie nini mpenzi wangu zaidi ya haya?

    Hahahhahahhahahahahahhaaaaaaaa! Hongera mwaya........nimekupenda buree kabisaaaaa. ...........wanawake wote wamefanya vyema lakini wewe umewapita wooteeee...........
  5. Kbd

    Ushauri wa ndoa ndoano

    Maswali ya wanaume wa miaka hii......majangaa
  6. Kbd

    Kweli harusi sasa zinazidi kututia umasikini

    Kbd says thank you for this useful post
  7. Kbd

    Lubuva: Kinachosomwa na tume ndicho kilichopo majimboni

    Yaani ata hiyo simple additional imewashinda. Idadi ya kura imezidi waliojiandikisha halafu wanatuletea &???__???=% ₩+@!^#*^(&$#&(@&() ?$#;'=_3&^??
  8. Kbd

    Shinyanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mabomu ya machozi yameanza kusikika kutokea viwanja vya shycom
  9. Kbd

    Mgombea udiwani CHADEMA kata ya Makoko Musoma Mjini avamiwa usiku wa Leo!

    Duuh..........pole sana kamanda, damu zenu hazijamwagika bure........nawaombea uponyaji wa haraka
  10. Kbd

    Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

    Mgeni kidogo maeneo haya kamanda, na muda mwingi nakua kazini.
  11. Kbd

    Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

    Asante sana kamanda, nitafanya hivyo
  12. Kbd

    Mita 200: Jaji mkuu alisema ruksa, Chikawe naye amesema ruksa

    Safi sana, huku niliko bado sijawajua wanamabadiliko wenzangu ili tujipange
  13. Kbd

    Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Kisarawe

    Muflisii kabisa.............kaputi walahiii...............loooooooooooo
  14. Kbd

    China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    Kipilipili......very very useful thread, remain blessed dear.
  15. Kbd

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Habari kaka yangu, Asante sana sana fo zis yuziful sredi, Mungu akubariki mnoo. Naomba kuuliza, bei zao wengi nimeona mfano $1.5-12/piece, hiyo maana yake nini? Natanguliza shukran zangu za dhati.
  16. Kbd

    If this is you, Come pls, Someone is waiting

    ...............and what is your name again....???!!!1:coffee:
  17. Kbd

    Nimechuma mali na mme wangu, lakini sasa anachepuka hakumbuki hata familia yake

    doreen eddy Pole sana mwaya......Mungu akupe faraja na akusaidie kufanya maamuzi sahihi
  18. Kbd

    Updates za BVR mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu

    Shy town sijasikia wala kuona chochote so far
  19. Kbd

    Tanzia: Dark City amefiwa na mama yake

    Pole sana dia kwa msiba mzito, Mungu akupe faraja ya kipekee katika kipindi hiki kigumu maishani mwako. Pole sana
Back
Top Bottom