Search results

  1. S

    Watch out Kenya, Tanzania is catching up

    As Kenya dithers on which way to go on governance with the constitution, how to implement Vision 2030 and how the various pillars of development can be kick started, its neighbour to the south is making steady progress. As the chart below shows, Tanzania is exporting to Kenya almost as much...
  2. S

    The Article of Union between the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar

    Kuungana na kutengana kwa nchi siyo jambo geni. Ila kwa ujumla kuungana ni tabia za inchi ambazo uchumi wake una prospect ya kuendelea, na kutamani kutengana ni tabia za inchi ambazo zinaelekea ku-collapse kiuchumi na/au kisiasa. Hoja ni kwamba hii ni dalili ya wananchi walioanza kupoteza...
  3. S

    Upeo wa Prof J.Magembe ndo umefika mwisho?

    Hata kwenye kiwango cha uprofressor bado watanganyika tunashindwa kutofautisha kufaulu na kuelimika. kitabu kimoja kitasaidia kufaulu, ili uelimike unatakiwa pamoja na mambo mengine usome widely.
  4. S

    Mkapa awaliza wanakijiji Lushoto

    leta hoja usilete ukabila hapa
  5. S

    Kikwete Knows Well,KENYA will monopolise East Africa

    "Kenya economy is 14 times that of Tanzania and 24 that of Uganda" Source Please! IMF did a stuy in 2004 and the GDP (in Billions of USD) for Kenya, Tanzania and Uganda was 16, 11 and 7 respectively. See page 22 of the same report (link provided). You will also see the FDI trends...
  6. S

    Why I am Not A Christian - Bertrand Russell

    I ready the essay from the link. the problem is what you stated, we are crafted by our ealier (childhood) experinces and teachings. Give the essays to children with somewhat open minded caretakers. It is too late for some of us to change our perceptions.
  7. S

    Wanafunzi wa Vyuo Wafundishe kwa muda!

    WAZO zuri. Ila tusisahau kufundisha ni fani. You need to be trained to teach. Labda vyuo viongeze kozi ya muda kwa wahitimu, kama mwezi ili wahitimu wajue basics za kufundisha. vinginevyo itakuwa chaos mashuleni.
  8. S

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    inawezekana husomi habari za dunia wala kusikiliza redio. ila ninaimani kwa akili yako invyoonekana unaangalia tv. Ushauri: badala ya kuangalia vipindi kama mizingwe na mapishi tu, angalia na taarifa za habari ujuwe hiko unachoshabikia kitaleta nini kwa baba , mama na mke/mume wako.
  9. S

    Lowassa Kuanzisha ABC Television Arusha

    Ubaya wa ufisadi siyo tukuhamisha pesa tu. Kuna madhara mengi mfano: 1. Kumisidrect investment from national priorities kama barabara and education ambavyo vimepasishwa kitaalamu na kisiasa kwenda kwenye mapendekezo ya mtu binafsi kama TV. 2. Justfy culture of wizi, kutowajibika na kujenga...
  10. S

    PSPF, LAPF wamefuliaje?

    Ni uongo tu, Huyo waziri alitakiwa atoe data siyo maneno tu. Nia ni kwanyamazisha walimu wa vyuo vikuu wanaodai ku-move kutoka PPF unless ibadilishe mafao yawe kama mifuko mingine. hiyo mifuko ni mashamba ya Serikali na wajanja wake.
  11. S

    Islam and politics in Tanzania

    Thank you
Back
Top Bottom