Search results

  1. B

    Mauaji Lindi

    Mlinzi wa Durbhai Amin amuua kijana (miaka 22) kwa risasi wakati akipita kwenye shamba la mmiliki huyo leo. Wanakijiji Makwaya waandamana
  2. B

    Madawa ya kulevya JNIA

    Siku hizi kila wiki au wiki mbili kuna mtu anakamatwa na madawa ya kulevya JNIA lakini sijawahi kusikia au kusoma au kuona hata mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa LIVE akihukumiwa au hata kupigwa faini. I stand to be corrected kama kuna ushahidi. Ila hua nasikia watuhumiwa waliokamatwa na madawa yenye...
  3. B

    Dawa ya Utajiri

    Wiki iliyopita nilikua maeneo ya Ludewa. nikaona nipite kwa sangoma chap chap ili na mimi nikirudi Dar nijenge gorofa Manzese. Masharti niliyopewa yalinishinda. Kwanza kabisa nisiwe na michepuko. nisile nyama na familia yangu. mimi na waifu tuvae nguo hizo hizo wiki nzima bila kufua. chakula...
  4. B

    Kenya wanasheherekea Eid leo

    Jirani zetu Kenya leo ni sikukuu ya eid
  5. B

    Samsung sii screen

    Ndugu zangu sikuhizi Vodacom wametuwezesha kkuona baadhi ya TV kwenye smart phones. mimi nina samsung s 2 cha ajabu kila nikidown load clip haijionyeshi full screen ila naona 1 cm by l cm katikati ya screen. hebu nisaidieni nione hizi news kwa screen ikiwa full. Natanguliza shukrani.
  6. B

    Nampongeza Regional Manager wa TRA Pwani

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Napenda nimpongeze meneja wa TRA pale Kibaha kwa kuondoa urasimu na kumfanya mlipa kodi ajisikie vizuri sana. Hakai ofisini muda wote hua anawauliza wateja kila mara kama wamehudumiwa. kama mfanyakazi analeta gozi gozi anaumbuliwa pale pale mbele ya wateja. Sio...
  7. B

    Leseni za Udereva

    Jamani naomba kujuzwa kama kuna mkoa naweza kupata leseni ya udereva bila rushwa. Dar es salaam na Pwani ziko out. PCCB FUATILIENI HILI SUALA DAR NA PWANI
  8. B

    Kapuya

    Kumbe Kapuya kahusika kwenye sakata la UDA. nimemuona LIVE akiteyea wizi wake bungeni
  9. B

    Muhongo ka panic bungeni

    Leo nimemuona Muhongo akiwakilisha bajeti yake. kwa kweli alikua anatia huruma kwa ku panic. kumbe zile mbwembwe akiwa nje ya bunge ni daliki za kua coward.
  10. B

    Madawa ya kulevya JNIA

    Nimepita pale JNIA Dar mara nyingi kwa safari za ndani na nje. kwenda na kurudi na hata hhuko nje kama JKIA . Entebbe. Dubai.etc. Mbona sijawahi kuchekiwa kama nimebeba madawa ya kulevya ? hao wanaokamatwa nayo wanapitia njia ipi torfauti ? Sio kwamba mie nasafirisha huu ujinga la hasha. lakini...
  11. B

    Ni Tanzania Tu

    Hivi kuna nchi nyingine duniani ukiondoa Tanzania ambayo mawaziri wanakwenda kwa waganga wa kienyeji kutafuta kupata ushindi na vyeo ??!
  12. B

    Sumry yatoa ubani wa Sh 5.5M ajali Singida

    Hivi bima za mabasi zinakazi gani. Sijawahi kuona majeruhi wakilipwa
  13. B

    More men face cut

    IN a bid to curb new HIV infection in men, government will carry out a medical male circumcision exercise by force targeting sexually active young men.
  14. B

    Serikali Tatu

    Morogoro singer say tatu bila. Burundi say tatu bila. why ccm say two govt ¿
  15. B

    Wasoma Habari TBC

    Hivi wasoma habari wa TBC. wa kike wanatolewa wapi ? Mbona hawana mvuto hata wakisoma ni kama wanakula makande yaani wameboreka. Bora hata wasome wale wa kiume.
  16. B

    Mkuu wa wilaya

    Mkuu wa wilaya Moshi Chang'a is no more. amefariki a few minutes ago MNH . Dsm
  17. B

    Kwa waliosoma Mazengo

    Naomba kama kuna mwenye taarifa za Mkoba. Msasa na Ddungu. kwa wale waliopitia Mazengo complex Dodoma
  18. B

    Hotel na Guest House

    Kwanini mtu wa Dar ukimuambia nilikuona ukiingia au kutoka gest haus anakasirika lakini ukimuambia nilikuona hhotelini anafurahi ?
  19. B

    Sitta Vs Kificho

    Mimi naona Mhe. Kificho aliliendesha bunge maalum kwa umahiri zaidi kuliko mh. Samwel Sitta. mh. Sitta amepoteza ule umahiri wake aliokua nao waqt akiwa spika.
  20. B

    Vodacom tusikilizeni

    Kuna mpango wa makusudi wa Vodacom kuwaibia wananchi. Nimeweka vocha ya sh 500. nilipojaribu kununua kifurushi cha 499 naambiwa salio lako halitoshi. kucheki salio nikakuta nina sh 450. nilipojaribu kununua cha 399 nikaambiwa salio halitoshi. nilipowapigia wana beat about the bush. kinakubali...
Back
Top Bottom