Search results

  1. Habari ya Mujini

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Miaka 10 mbele kutakuwa na club gani kubwa Arusha yenye hadhi ya Simba na Yanga? Mkuu mpira wa miguu unachezwa hadharani...iyo Afrika Kusini kuna viwanja ili jenga kwa ajili ya world cup 2010 kwenye baadhi ya miji hivi leo hakuna club zinauwezo wa kuvijaza..! Miaka zaidi ya kumi imepita..!
  2. Habari ya Mujini

    Serikali kujenga uwanja wa mpira Arusha wa kuchukua watu 30,000 ni kukosa maono

    Mkuu unajua gharama za kutunza uwanja wa watazamaji elfu 60? Huo wa Mkapa wenye uwezo wa watazamaji elfu 60+ unafahamu huwa unajazwa ( full house) mara ngapi kwa mwaka? Kimsingi kwa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati na nchi nyingi za Kusini mwa Afrika hazihitaji kuwa na kiwanja zaidi ya...
  3. Habari ya Mujini

    Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Nakuunga mkono Mkuu...ila uhandsome siyo lazima uwe mweupe..!
  4. Habari ya Mujini

    Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

    Mim nikafupi alafu keupe...ukiniona kwa mbali kama dumu la mtindi la lita tano..! Kwa hiyo kwako nimeambulia patupu Mkuu?
  5. Habari ya Mujini

    Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

    Hii Dunia ina wanaume wa hovyo sanaa..!
  6. Habari ya Mujini

    Sisi wanawake bwana!

    Mama anapata tabu ya nini? Akubaliane na maamuzi ya mwanae ya kumpiga chini huyo dada kisha jamaa anavuta chombo nyingine ubwabwa unaliwa kama kawaa..! Chapu kwa haraka yani..!
  7. Habari ya Mujini

    Mikanganyiko katika Biblia ni kigezo kinachowapa watu uhalali wa kusema hakuna Mungu

    Mkuu hapa mbona unajichanganya na kukiri mkanganyiko...kama Mungu alishapanga kila kitu na anajua hatima ya kila kitu iweje tena atoe uhuru wa mtu kuchagua wapi anapotaka kuelekea?
  8. Habari ya Mujini

    Nimepigwa makofi baada ya kumwambia aende kwao

    Wanaume wanazidi kupungua kila uchwao..!
  9. Habari ya Mujini

    Dada yangu kama hutaki bora usimpe kuliko kunyanyasia tamu mtoto wa mama mkwe

    Mwanaume mwenye misimamo na anayemjali mke wake hawezi kufanyiwa hayo mambo..!
  10. Habari ya Mujini

    Mwanamke ukimwambia ni mzuri na ukampa furaha anakuwa Mzuri

    Unafanya yote hayo alafu unagongewa na bodaboda..!
  11. Habari ya Mujini

    Lissu anakuwa na nguvu pale panapokuwa na Siasa za mapambano (confrontational politics), zilikuwepo enzi ya Magufuli, Sasa hazipo, kapoteza relevancy

    Ni ukweli usio kuwa na shaka kuwa Mama Samia amezibadili siasa za nchi hii…na kwa sasa wapinzani wanacheza mziki anaoupiga mama…!
  12. Habari ya Mujini

    Kiumbe kinachoitwa ‘mke’ kiogope

    Na kiuhalisia huwezi kuwa na vyote
  13. Habari ya Mujini

    Siri iliopo kwenye MANII (SEMEN)

    Wafungwa wangekuwa matajiri…!
  14. Habari ya Mujini

    Ukioa Mke Mwelewa na ukawa na mchepuko fundi umetoboa maisha

    Kuna watu wana magari yao lakini mara chache wanachukua uber, bolt au boda kwenda kazini…hii haina maana kwamba hawayapendi magari yao bali wanafanya ivyo kwa lengo la kutunza tairi na mailieji ya magari yao…!
  15. Habari ya Mujini

    Kwanini Mungu hakurekebisha kilichosababisha shetani akaasi kabla ya kumuumba binadamu?

    Kwa iyo Mkuu,,Duniani ni sehemu ya mateso ndo mana Mungu alimtupa shetani mara baada ya kuhasi? Kwa iyo Mungu alituumba kisha kutuleta sehemu ya mateso ( Duniani) ?
Back
Top Bottom