Search results

  1. A

    The sweetness of swahili

    Sikutambua utamu wa lugha yangu na kiasi inavyoweza kutuunganisha mpaka nilivyokuja kufanya kazi ughaibuni! Naona wa east africa wakenya, warundi, na waganda wanavyojaribu kutumia kiswahili kama kiunganishi katika jamii yetu ya wageni mbali na nyumbani! Long live the great mwalimu, whose...
  2. A

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    The poison of self destruction is unknown until it is too late! And then you wil say ' i wish i knew'
  3. A

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    ni utendaji au udini? hata kama wote waislam au wakristo kama wana perform waacheni! kesho mtaanza kuchunguza kuna wachaga wangapi , wasukuma wangapi? simple rule sumu ya ubaguzi ikianza haishi wazalendo hoo chonde jamani!
  4. A

    Vyama feki

    Kwa kweli hakuna opposition party, wote ni walewale, walitimua na kujifanya opposition, ukweli wote wako kwenye payroll ya CCM!
  5. A

    Salamu

    Wazalendo amjambo?
Back
Top Bottom