Vyama feki

Asubuhinjema

Member
Sep 17, 2009
5
0
Kwa kweli hakuna opposition party, wote ni walewale, walitimua na kujifanya opposition, ukweli wote wako kwenye payroll ya CCM!
 
Kwa kweli hakuna opposition party, wote ni walewale, walitimua na kujifanya opposition, ukweli wote wako kwenye payroll ya CCM!

Mkuu Mod
futa huu udaku hawa jamaa wa akili mgando naona wanatumwa kila mara kutuondoa kwenye hoja za maana.

Una ushahidi wa kutumwa kwa vyama hivyo ? Je unaweza kuvitaja vyama hivyo ?
 
Kwa kweli hakuna opposition party, wote ni walewale, walitimua na kujifanya opposition, ukweli wote wako kwenye payroll ya CCM!
Kama unatarajia watu wa upinzani ni lazima watoke kuzimu,basi utasubiri sana na pingine tukakuzika na bado awajatokea ,ivi umisaau ka WaTz wote walikuwa Tanu na ASP na baadae ZZM ? Ukiwa mwanachama au uziwe mwanachama Raisi ni Nyerere tu au mwengine yeyote atokanae na CCM.
 
Back
Top Bottom