Search results

  1. georgep

    Natafuta mchumba

    kwa hiyo wewe ni domo zege?
  2. georgep

    Tumbo limeanza

    atumie maji ya betri yatamsaidia
  3. georgep

    One night stand ...

    ilishanikuta moja ila ni kwa mtu ambaye tulikuwa tumefahamiana tayari
  4. georgep

    Rais avunja rasmi tume ya Warioba

    haaya ntarudi
  5. georgep

    Picha:wapenzi mashoga na wasagaji zaidi ya 370 wafunga ndoa ya pamoja uko brazil

    dah hatari sana mkuu hata aibu hakuna
  6. georgep

    Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    huwa inauma sana na demu wangu mara kibao huwa namshtukia anamuwaza kidume wake wa kwanza ingawa huwa anamkwepa hataki kuonana nae
  7. georgep

    Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

    ningemjua ningempongeza kwa kazi nzuri aseee
  8. georgep

    Makahaba wanaswa na wateja wao....wadai wanasaka pesa ya sikukuu...tazama mapicha zaidi ya 12 hapa.

    duuu naona wamekua wapole kama wamamwagiwa maji baridi
  9. georgep

    PICHA ILIYONIHUZUNISHA WATOTO WANAULIWA SANA HUKO IRAK NA SYRIA MUNGU WASAIDIe

    dah wananyima haki yao ya msingi kabisa ya kuishi Mungu awarehemu
  10. georgep

    Bibi Kanikataza! 2

    aaa unazingua sasa unakua kama bongo muvi bana aaaaagh
  11. georgep

    Shemeji haeleweki jamani!

    hakuna kitu hapo amekosea njia huyo kama anamategemeo aandike maumivu over
  12. georgep

    hivi wanaume wana wivu, au ni ubabe tu?

    ila inategemea mwanaume na mwanaume sio wote wapo hivyo ila kuna wanawake wengine wanazingua sana ndo maana bora kuwa mkali tu
  13. georgep

    MAN UNITED jiandaeni kwa msimu ujao msimu huu kama na huyu ni benchi basi

    na bado natamani angeumia hata msimu mzima
  14. georgep

    Bado nampenda nataman arud kwangu

    ndo hapo ila j alishasema hawara hana talaka ukimtaka unampata ye anaweza akahisi ndo karudiwa kumbe jamaa anakumbushia enzi tu
  15. georgep

    hivi wanaume wana wivu, au ni ubabe tu?

    kwa mwanaume inauma sana asee afu uvumilivu huwa mgumu pia
Back
Top Bottom