Ray C si chochote kitandani ikimkalia kilo sabini juu anaishiwa maajabu but Yondo kwa muonekano tu ni mwanamke wa kazi hata kitandani wau mnasemaje wadau wangu?!
kaka mapenzi sio kuongea sana.Mapenzi ni vitendo,kilichotakiwa ni mtu unaye mpend a ndiyo aonyeshe appriciation kwako na siyo wewe mwenyewe ujipe maujiko hooo nitakuwa baba bpora,shat up,How sure are u?!who told you that!?unaweza sema unatoa promise kwa demu wako but according to African culture...
Honger Dr.Aisha umeonyesha kuwa wewe ni mwanamke uliyekamilika coz hata uwe na pesa au wazifa mkubwa serikalini lakini mapenzi ni muhimu kwa kila mtu thats what Dr Aisha has shown,I like that!
Kaka acha kutetea ujinga jinsi ulivyo kuja kumake conclusion unaonesha nikiasi gani ulivyo mwanasiasa.Nakufananisha na mwanasiasa kwa sababu kuu mbili.wewe sio mtaalamu wa mambo ya kijamii alafu unantaka kujifanya unajuamambo ya kijamii.Pili wewe hujafanya uchunguzi wa ndani juu ya vikuku na...
kaka unachotakiwa kufanya ni kumwambia ukweli huyo dada kuwa kelele zake za mahaba zinakupa uchizi coz kukaa kimya kutakufanya ukose raha mwaka mzima na inaweza kupelekea kufanya ngono usizo tarajia.Kama njia hii unaona noma kanunue redio kubwa yenye sound nzito ili ukisikia anaanza kelele wewe...
hello,my name is Enock urthur,am third year student of UDSM takng a First degree of Civil and Water resources engineering.I 'm very happy to be member of this BIG FAMILY of JamiiForums.I lv u all.Let burn the BUSH to make our envinvironment clean!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.