Search results

  1. P

    Mke wangu kapotea kama Okwi...

    Basi mkeo atakuwa anajivinjari na mkeo.........sababu ni kama wamepanga mtindo wa kutoroka pamoja!....Okwi anajinyoosha sasa..............ahhhhhhhh inauma............dah!
  2. P

    Najuta kuifahamu stand ya Mwenge

    Ha ha ha ha, haya mtoto wa Abuja (sinza kwa wajanja)ila mitandao ya simu kila siku inakupiga 250 za nyimbo na sms za ujanjanujanja!! ha ha ha!
  3. P

    Najuta kuifahamu stand ya Mwenge

    Hujawahi kuibiwa dogo...........watakuibia siku hadi utawapongeza na halafu ukajichoma yako bisbis kujilaumu!
  4. P

    Najuta kuifahamu stand ya Mwenge

    Du Mkuu hapo mwenge mimi pamesababisha niwe nanunua simu za 40 elfu kushuka chini ni majanga!
  5. P

    Mh. Joseph Mbillinyi familia yako inakulilia

    Dogo bujash ishu siyo kuzaa ishu ni kulea...........hapa jambo baya ni kutelekeza familia.....amchukuwe amlee mwanaye!
  6. P

    Hoja Korofishi: Zanzibar Ipewe Nafasi Kutazamana na Mizimu Yake...

    Mkuu ''MM'' tatizo la baadhi ya watu (hasa viongozi) wanafikiri muungano unahusisha watawala..........kumbe muungano unatakiwa uwe wa maridhiano ya wananchi pamoja na viongozi (wakivaa uananchi na sio utawala) kwani hata Katibu Mkuu wa CCM bwana Kinana amenukuliwa na gazeti la mwananchi leo...
  7. P

    Nguzo za CCM

    Dogo Mselewa mara nyingi uaanzisha thread utakuwa na stress sana kwa mpango.
  8. P

    Mnyika adai hati ya muuungano Zanzibar vs Tanganyika

    Saafi TIGOPESA leo umooklezea kama Minikabang............Mnyika kakusoma utapata peremende!!!!!!
  9. P

    Niliupenda Muungano...

    Usijitoe ufahamu dogo! hii nchi hata akina Shivji wana asili ya india lakini hakuna mwenye kuwahoji sababu wamekamilisha taratibu za uhamiaji/uraia..........nafikiri kuna kamati itaundwa na watahojiwa ni nchi ipi wanataka kusajiliwa...................kwani hata wakati Tanganyika inapata uhuru...
  10. P

    Tanzania not happy with UK visa being processed in Nairobi

    Haya!!!!!! yaani upinzani kwenye siasa unakufanya uichukie nchi yako.
  11. P

    Mwigulu Nchemba: Mwenyezi Mungu hapendi Wanasiasa wanafiki na wapenda mambo ya siri

    Acha kujitoa ufahamu dogo.......................!unalinganisha mambo yasiyofanana!
  12. P

    Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Kidogo kidogo, unashangaa na wewe kupitia mstari huo unaanzisha kanisa.............mara linakuwa kubwa unakula vichwa, watu kibao wamefanikiwa kwa kutafsiri vifungu katika Biblia...................pambana mdogo wangu..........go......go............gooooooooo!
  13. P

    Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Haya mama..........umesema kweli yako.........na hiyo ni imani yako ni muhimu kuwa huru!
  14. P

    Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Suala la marumaru yaweza kuonekana anasa kwako ila kwa wengine ni kawaida kutokana na ukwasi.......,labda kwako CL ikoje kwa makaburi ya wapendwa wako (hasa hasa kama ni wazazi wako-samahani kama wapo hai )
  15. P

    Katibu mkuu wa CCM (Kinana) amekuwa mpinzani ndani ya CCM?!

    Dogo toa maoni yako Kinana afanyeje kama sio kuisimamia Serikali? acha siasa maji taka kama Mtoi.., ambaye kule kwao Mtae CCM inapita bila kupingwa, yeye anaona atakuwa bingwa kwa uzushi.
  16. P

    Katibu mkuu wa CCM (Kinana) amekuwa mpinzani ndani ya CCM?!

    Na hili la Kinana ndio linlotofautisha siasa ndani ya vyama hapa TZ, angalau kwa CCM unaweza uatofatiana kimawazo na wengine bila kufukuzwa na kuzongwa!
  17. P

    Hii ya Kenya Nimeipenda

    Bwana mdogo...............hamna mtu duniani ukimpa nafasi ya kufanya ''self appraisal'' halafu akakiri udhaifu...........hizo ni siasa ambazo nawewe umeingizwa mkenge au ni mchanga kwenye haya mambo ya siasa,kenya sio mfano mzuri kwa serikali zenye kuwajibika.........!
  18. P

    Nyani haoni kundule

    Mhhh.......yale yale siku wakikosana na mke wake akimuambia anaenda kwa mama nayeye mwanaume anaacha watoto kwenda kwa mama yake!
  19. P

    Live on TBC1: Kongamano la Vyuo Vikuu kuhusu Muungano

    Shivji anajitoa ufahamu na kupoda takwimu............nyambaaf! kwahiyo hata wabunge na raisi sio halali kwani wamechaguliwa na watanzania chini ya asilimia 30....................anajidhalilisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  20. P

    Lema keshaondoka Dodoma?

    Mhh kwani posho imefutwa? waliopo mjengoni watujuze!
Back
Top Bottom