Katibu mkuu wa CCM (Kinana) amekuwa mpinzani ndani ya CCM?!

katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Mzee Kinana kwenye ziara yake ya hivi karibuni mkoani DSM alipokutana na wanachama wa CCM na kupitia vyombo vya habari amekuwa anatoa kauli za kushangaza kama sio kustajaabisha kwa mtu anaye fuatilia siasa za Tanzania.

Kwa mara kadhaa kwenye mikutano yake amekuwa kama anaisuta serikali ya CCM na kimantiki ni kama amekuwa ana msuta raisi Jakaya Kikwete pamoja na serikali yenye mawaziri wote wanao tokana na CCM. Amekuwa anaelezea matatizo ya ajira kana kwamba yeye ni katibu wa chama cha upinzani, anaisuta na kuihoji serikali kwa kushindwa kutengeneza ajira, anaihoji na kuisuta serikali kwa kuweka kodi ambazo ni kikwazo naza manyanyaso kwa wananchi.

Amelalamikia tatizo la miundombinu mibovu ya maji na uhaba wa upatikani wa maji kwenye jiji la DSM kana kwamba hakumbuki kuwa serikali hiihii ya CCM ilileta mradi wa mabomba ya wachina na mpaka sasa ni usanii kama ilivyo usanii mwingine wa CCM na bado wananchi wengi wa DSM wanateseka kwa kero ya maji huku wapiga dili wakiwa wameshapiga dili na mradi umesimama bila uhakika wa maji.

Nimebaki na jiuliza, huyu katibu mkuu wa CCM ambaye serikali iliyo chini ya chama chake chini ya mwenyekiti wake wa chama ambayo kimsingi ndio chanzo cha anayo eleza na kuimba kwenye majukwaa ameamua kuasi na kuanika udhaifu wa serikali ya mwenyekiti wake wa chama?! Au anataka aje amtupie zigo JK kwa kusema kuwa CCM ilisema lakini mwenyekiti aliyekuwa anaongoza serikali ndio alikuwa kikwazo?! Nia yake ni nini haswa?!

Ni mpinzani ndani ya CCM?!

Huyo ndio Kinana! Ndumila kuwili!
 
Tangu mtoi na wenzake waanze kutunga uongo dhidi ya zito mimi nilishawadharau kabisa hawafai kwenye siasa na wenzake.
 
Huyu Alshaabab anachefua ameamua kutunisha tumbo kwa kukamata per diem ya Lumumba kwa safari za kuzunguka nchi akiigiza kuutafuna mkono unaomlisha.
Kinana ni sehemu ya kundi lililo na linalo sababisha mateso yanayowakabili walalahoi,sasa anawakejeri badala ya kwenda naufumbuzi wa matatizo yao,anawapelekea porojo za kuwaongezea simanzi,kwa kucheza hide and sake.
Jana alikuwa Nkasi analalamika eti badala ya serikali kuwakopesha wakulima,serikali ndio kwanza inakopa mazao ya wakulima,hivi SERIKALI ni dude gani analoliongolea Kinana nadhani pale alipo yeye ni zaidi serikali.
Lakini kwa jinsi tulivyogeuzwa misukule jamaa anakuja na ghilba za wazi watu wanamshangilia kama vile serikali anayoiponda ni ya nchi jirani.
Kazi iliyopo mbele yetu ni kubwa,mpaka watu waelewe kuwa mfalme yuko uchi itatuchukua labda miaka mia,wakati huo mfalme anaendelea kupeta uchi mitaani,wapumbafu tunamshangilia nakuisifia suti yake yakusadikika.
Mumgu inusuru Tanganyika
 
katibu mkuu wa chama cha mapinduzi Mzee Kinana kwenye ziara yake ya hivi karibuni mkoani DSM alipokutana na wanachama wa CCM na kupitia vyombo vya habari amekuwa anatoa kauli za kushangaza kama sio kustajaabisha kwa mtu anaye fuatilia siasa za Tanzania.

Kwa mara kadhaa kwenye mikutano yake amekuwa kama anaisuta serikali ya CCM na kimantiki ni kama amekuwa ana msuta raisi Jakaya Kikwete pamoja na serikali yenye mawaziri wote wanao tokana na CCM. Amekuwa anaelezea matatizo ya ajira kana kwamba yeye ni katibu wa chama cha upinzani, anaisuta na kuihoji serikali kwa kushindwa kutengeneza ajira, anaihoji na kuisuta serikali kwa kuweka kodi ambazo ni kikwazo naza manyanyaso kwa wananchi.

Amelalamikia tatizo la miundombinu mibovu ya maji na uhaba wa upatikani wa maji kwenye jiji la DSM kana kwamba hakumbuki kuwa serikali hiihii ya CCM ilileta mradi wa mabomba ya wachina na mpaka sasa ni usanii kama ilivyo usanii mwingine wa CCM na bado wananchi wengi wa DSM wanateseka kwa kero ya maji huku wapiga dili wakiwa wameshapiga dili na mradi umesimama bila uhakika wa maji.

Nimebaki na jiuliza, huyu katibu mkuu wa CCM ambaye serikali iliyo chini ya chama chake chini ya mwenyekiti wake wa chama ambayo kimsingi ndio chanzo cha anayo eleza na kuimba kwenye majukwaa ameamua kuasi na kuanika udhaifu wa serikali ya mwenyekiti wake wa chama?! Au anataka aje amtupie zigo JK kwa kusema kuwa CCM ilisema lakini mwenyekiti aliyekuwa anaongoza serikali ndio alikuwa kikwazo?! Nia yake ni nini haswa?!

Ni mpinzani ndani ya CCM?!

Na hili la Kinana ndio linlotofautisha siasa ndani ya vyama hapa TZ, angalau kwa CCM unaweza uatofatiana kimawazo na wengine bila kufukuzwa na kuzongwa!
 
Mbinu wanayojaribu kuitumia ni kuwadanganya wananchi wasio na uelewa kuwa CCM ni chama kizuri ila serikali hii ambayo si sehemu ya CCM ndo mbaya! Wanajua kuwa kwa kiwango cha ujinga ambacho ndo mtaji wao, watu watakubali.

Dogo toa maoni yako Kinana afanyeje kama sio kuisimamia Serikali? acha siasa maji taka kama Mtoi.., ambaye kule kwao Mtae CCM inapita bila kupingwa, yeye anaona atakuwa bingwa kwa uzushi.
 
Nenda kajifunze maana ya collective responsibility ndio urudi tena kuchangia. Ungekuwa unaijua hiyo dhana usingekuja kuandika ulicho andika! Au labda nikuulize?!! Mwenyekiti wa baraza la mawaziri la serikali na chama anachotaka kukiwajibisha Kinana ni nani?! Na wanapokutana kwenye kamati kuu Kinana na Jk huwa hawaongei haya anayoongea majukwaani?!

Mkuu achana na huyu mtoto tineja anayeishi kwa kudra za ccm yy anachojua ni namna atakavyoiona kesho
 
kubwa katika yote hayo kinana anaingia madarakani huku akiwa na hazina ya uzoefu mkubwa wa kuongoza mapambano dhidi ya vyama vya upinzani na kushinda katika mazingira ambayo aghalab yamekuwa yakiacha vidonda visivyopona kwa wapinzani tangu mwaka 1995. Huyu si mtu wa kumpuuza au kumbeza hata kidogo.

Huyu ana hazina na uzoefu mkubwa wa kuua ndovu mkuu
 
Mwehu tu hana lolote anadandia hoja za wapinzani.hana anchokofanya mbali na kukenua meno kwenye bajaji.
 
Mambo yenu ya CDM yamewashinda mtaweza ya CCM?

Slaa chama kimemshinda nafikiri ni muda wenu mwafaka wa kuijadili nafasi ya ukatibu mkuu iliyopwaya hapo ufipa...

Chama kinaongozwa na family bado tu wataraji kitu kama hiko kitokee...?

Utawala wa Ki-imla ndani ya chama hautowaacha salama.

Vyama vyote nchi hii ni vurugu tupu.

Mbaya zaidi nyuma yao huwa kuna wangi mno wenye kujawa njaa, wataraji HAKI ipatikane vipi...?!!

Kikubwa kilitakiwa khofu ya Mungu itangulie, laakini ndo kwaanza pamejawa kama LAANA hivi..!

Aah mangine ni kero kunena ila bado sana nchi hii wapinzani kuwaaondoa waloshika hatamu kwa sasa.
 
Tangu mtoi na wenzake waanze kutunga uongo dhidi ya zito mimi nilishawadharau kabisa hawafai kwenye siasa na wenzake.

Mkuu. Hiyo sio hoja iliyooko kwenye mjadala! Anzisha uzi mpya wa hilo unalolisema kama unadhamira nalo. Rudi usome upya mjadala na ukakavue na kudadavua bongo lako.
 
Chama kinaongozwa na family bado tu wataraji kitu kama hiko kitokee...?

Utawala wa Ki-imla ndani ya chama hautowaacha salama.

Vyama vyote nchi hii ni vurugu tupu.

Mbaya zaidi nyuma yao huwa kuna wangi mno wenye kujawa njaa, wataraji HAKI ipatikane vipi...?!!

Kikubwa kilitakiwa khofu ya Mungu itangulie, laakini ndo kwaanza pamejawa kama LAANA hivi..!

Aah mangine ni kero kunena ila bado sana nchi hii wapinzani kuwaaondoa waloshika hatamu kwa sasa.

Kweli mkuu umenena vyema...

Tanzania upinzani bado sana
 
Mkuu. Hiyo sio hoja iliyooko kwenye mjadala! Anzisha uzi mpya wa hilo unalolisema kama unadhamira nalo. Rudi usome upya mjadala na ukakavue na kudadavua bongo lako.

Unadhalilisha uislamu wako kwa kifuata maelekezo ya mtu ambae hata dini na yesu wake alimsaliti..

Unashiriki meza moja na wapenda liwati na shirki..

Mbaya zaidi umeshirikishwa katika fitna na chuki dhidi ya wenzako hutabaki salama yatakurudia tu...

CC: Ben Saanane
 
Last edited by a moderator:
tony gwanco YUKO WAPI MANSOOR HIMID NASSORO aliyekuwa mwakilishi wa jimbo la kiembe samaki?
yupo wapi HORICE KOLIMBA?
YUPO WAPI HUSSEN BASHE ndani ya ccm wenyewe mlimsema ni msomali
na DR HARISON MWAKYEMBE kama si huruma na neema za MWENYEZI MUNGU leo ingekuwa historia ndio kukosoana huko kwa kumwagiana sumu?
yuko wapi mzee wetu mpenda EDWARD MORINGE SOKOINE?
 
lusungo naona mkisikia jina Dr Slaa na Mhs Mbowe mnaumwa tumbo!!
Tulia sasa usanii wenu wa katiba fake unaanikwa hadharani na Dr sijui mtajificha wapi, kwenye mitandao pekee haitoshi, mnawaeleza nini wananchi??
 
Last edited by a moderator:
LUSUNGO MBONA HUJAJIBU HOJA MKUU
kwenye uongozi wa siasa hatutafuti malkia au malaika mkuu
tunamtafuta mtu wa kutupa maendeleo kama taifa sindi mkuu
 
Unadhalilisha uislamu wako kwa kifuata maelekezo ya mtu ambae hata dini na yesu wake alimsaliti..

Unashiriki meza moja na wapenda liwati na shirki..

Mbaya zaidi umeshirikishwa katika fitna na chuki dhidi ya wenzako hutabaki salama yatakurudia tu...

CC: Ben Saanane

Duuh...! Maneno magumu sana, lakini pindi ifikiapo mtu akaikana imani yake hasa kimatendo, basi mtu hoyo kama una hakika naye juu ya ayafanzayo muepuke maana si salama kuwa pamoja naye.

Lakini kama ni kweli, naamini siasa nyangi mno za hapa nchini petu ghaalibu zake huwa ni kwa aji ya njaa na kutaka SIFA katika nchi.

Laakin kama imani unayo lazima uniuloze baada ya siasa zako wwaelekea wapi navhuko uelekeako meandaa nini na kwa nino uandaae...?!!

Ni kosa kubwa sana kuibatilisha imani yako kwa aji ya kutafuta ukubwa ati hapa katika DUNIA, Dunia ambayo ni yenye kupita na haibaki, wangapi walikuweko na mi-vyeo ya kullavainavna leo wa wapi na twajifunza nini...?!!

Mwenyewe hapa kwa umre wangu nilo nao namshukuru Mwenyezi Mungu hadi sasa kuepo hapa, maana wangi mnk wa makamo yangu tayari weshatangulia.

Laakin kimubwa zaidi ni kufahamu kuwa KIFO hakina taarifa wala umre wa kufa hakuna aujuaye.

Axha mwenye hamu na dunia imdunjshe tu na si muda atayapata alokiyatafuta.

Ntarejea...
 
Last edited by a moderator:
kinana huwa anazungumzia mambo yote hila hili la UJANGILI hata siku moja sikuwahi kumsikia akiisema serikali ichukue hatua
tunakusubiri huku SUMBAWANGA ila uje ulisemehe ili la ujangili haswa meno ya tembo na faru
sianasemaga serikali lazima tuiseme
sasa kazi tumekupa KINANA iseme serikali na wizara ya utalii na maliasili kuhusu UJANGILI
 
LUSUNGO mkumbusheni KINANA autaje yapo ujangili nao ni kero inayotusumbua
maana watoto wetu watakuja kupata hadidhi kuwa tulikuwaga na tembo
kumbe aliyeshiriki kuwamaliza ndio huyo huyo KINANA
 
Back
Top Bottom