Search results

  1. D

    Kwa nionavyo, mikoa inayoongoza kwa uvivu ni Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga

    UMASIKINI wa mikoa hii umesababishwa na serikali. Mbolea tu Kule inafika kwa bei kubwa, matrekta ya kilimo yamewekwa DSM na DOM,kama maonesho tu.
  2. D

    Ukweli mchungu ila ubachelor unawafaa zaidi Vijana waliojipata, wapambanaji na wanaojielewa

    IQ kubwa inazuia mtu kudili na mambo madogo madogo ya kutandika kitanda. Mahusiano ni miongoni mwa mambo hayo.
  3. D

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    Unajua kwanini wana yanga wamekasirika ni kwasababu brand yao inafedheheshwa. Mayele anatakiwa ajue yanga ni timu ya wanachama
  4. D

    Mayele aliianzisha vita ambayo haiwezi, kulia lia hakutomsaidia kitu

    Yanga ndo yenye mashabiki bora kabisa. Wanawasaidia viongozi wao sana. Mchezaji akitoka yanga awe kajipanga ataandamwa kipropaganda Lengo asiwe na madhara kwao.Halafu wakipata mchezaji watampamba kupita uwezo wake. Inaitwa branding
  5. D

    Kigoma: Kivuko chasombwa na maji kikiwa na abiria ndani. Moja ya abiria ni mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa

    Serikali ijenge daraja pale ni muhimu hata kiulinzi wa mpaka wa nchi yetu
  6. D

    Mifumo ya kidunia ilishaamua mwanaume aishi kwa kukandamizwa na kufanyiwa ulaghai/ udanganyifu

    Nguvu ya mwanaume ipo katika kuoa wake wengi. Mila ya kiafrika iliyoachwa
  7. D

    Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Edibily Jonas Lunyamila Makumbi Juma Homa ya jiji Mwanamtwa Kihwelu Chibe chibindu Godfrey Bonny
  8. D

    Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Japo sio vizuri kushambuliana vile,lakini kwa hali ndo wananchi wanajichukulia hatua mkononi
  9. D

    Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Mamlaka Kuna namna zinashindwa ku balance, utoaji wa haki kwa pande zote
  10. D

    Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Tumepokea, kwa niaba yake , maana anatakiwa afanyiwe operesheni ya kichwa, famu imevia kichwani
  11. D

    Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Nani ataisimamia hiyo kesi, maana ndugu zake wamekwenda kituo cha polisi . Wanaambiwa sisi tunachojua yupo nje kwa dhamana mambo ya mahakama sisi ndo tunajua cha kufanya
  12. D

    Zanzibar: Polisi wajitafakali, mtu anagonga mtu anaachiwa bila mawasiliano na ndugu wa aliyegongwa

    Inahudhunisha sana, hugo kijana kaandikiwa oparesheni kichwa ,mpaka sasa kalazwa. Ana maumivu ya kichwa sana.
Back
Top Bottom