Search results

  1. A

    Msaada tafadhali - namna ya kuweka link

    mwali unajua.. Utafikri ni mimi??
  2. A

    Naombeni ushauri wana jf

    Ni matumaini yangu kuwa mu wazima! Ni hivi mi nina tatizo la kifua linanisumbua kwa muda sasa. kifua kinauma kwa ndani upande wa kulia hii hutokea nikiwa nataka kuamka kama nimelala au nimekaa kwenye sofa, hasa nikiwa sehem za baridi. nimeenda hospitali (muhimbili) nikapiga x- rays...
  3. A

    United states permanent resident card

    Nawashukuru sana ndugu zangu nimesoma maelezo yote kwenye website yao,jamaa walitaka kunitia damage ya ukweli, kulingana na maelezo yao na vigezo vyao mpaka wakuchague inabidi uwe umejaza form kitu ambacho sikuwai kufanya.
  4. A

    United states permanent resident card

    Hod humu ndani! natumaini wote ni wazima kwa uwezo wa aliye juuu!(mola). ni hivi waungwana, us department imenitumia e-mail kuwa nimechaguliwa kwenye hiyo permit tajwa hapo juu baada kufanyika random selection lakini pia niliwahi kujiunga kipindi falni maana wamenitumia ip adress ya compter...
  5. A

    Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Msasani maana yake ni kwamba huko aliishi mzee aitwaye MUSA HASANI wazungu walishindwa kutamka vizuri jina hilo na kuita msasani mpaka leo ni msasani, Mnyamani vilevile aliishi mzee wetu MWINYI AMANI. VINGUNUTI, Ni kwamba kulikuwa na vijizee vilivyokua vinauza maeneo kariakoo na kukimbilia...
  6. A

    mwoneni huyu jamaa,anahitaji ushauri

    Ushauri gani mkuu?
Back
Top Bottom