Search results

  1. I

    Serikali yafuta fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii

    Fao la kujitoa si lilibadilishwa na kuwa fao la kukosa ajira
  2. I

    Baraza Kuu la Waislam (BAKWATA) Lalaani Mlipuko wa Bomu Arusha

    Jamani lakini aliyetupa bomu ana jina la Kikristo so sio Wailslam wote wenye roho za chuki
  3. I

    Lukuvi: Filikunjombe ni mtu wa CHADEMA

    Tatizo wanasahau kuwa ule wakati wa ndio umekwisha.
  4. I

    Ushamba wa JK na mawaziri wake Muscat

    I saw the news kwa kweli kushangaa kao kulikuwa aibu sana
  5. I

    Chaguzi za CCM: Undugunisation au majina kufanana tuu?

    Zaidi ya hayo Ridhiwani Kikwete hana mpinzani Bagamoyo na Salma Kikwete hana mpinzani Lindi Mjini
  6. I

    Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

    Jamani ni vizuri kujibu vizuri kwani hata mimi nilikuwa suprised, Ijumaa tarehe 20 July,2012 nilikwenda TRA samora lipia license renewe kwa pikipiki nikalipa elfu50 nikaambiwa sasa uraribu umebadilika unapata license kesho yake sio the same day kama zamani. Nikarudi J3 ambayo ni tarehe 23, ndio...
  7. I

    Tujikumbushe ILBORU

    You have reminded me mbali sana. Na headmaster wakati huo Bino. Duu alikuwa anachapa wakati wa umepata under 50.
  8. I

    Hili la Cleopa ni kama TUSI kwa Jakaya

    Nadhani hajatukana Ila kasema ukweli, Kwa mfano hili la kutokomeza malaria, Alichosema CDM ni sawa kwani mbu wapokila mahali sio mpaka tukiwa tumelala
  9. I

    Takwimu za Magufuli zinatia shaka

    Kusema ukweli zaidialiulizwa maswali na alijibu vizuri. Ndugu yangu unayebisha takwimuza magari tafadhali go back and work out kwani Dar kuna Institution nyingi, wizara nyingi zenye magari mengi so he might be true
  10. I

    Majina ya vituo vya daladala sehemu mbalimbali

    mgeni nani kwa tumbo Goigi samaki Msikitini Kanisani Kwa Joseph Super
  11. I

    Hivi haya madai ya waziri Nyalandu dhidi ya Wabongo waishio ughaibuni yamekaaje?

    Nimesoma naye kidato Kimoja Ilboru seconadry, ni kweli alikuwa anapenda sana mademu na njia aliyokuwa anatumia ni UKWATA, na kweli alikwenda Marekani through sponsoship the kwenye Religion Organiazation,then akiwa marekani akawa anacoordinate watu kwenda Summer holiday, Watu wakawa wanazamia...
  12. I

    Kikwete kuteua wakuu wapya wa mikoa karibuni

    Sio wasomi tu hata sisi wananchi wa kawaida tunapinga uteuzi huo japo ndio hivyo tena katiba inamruhusu
  13. I

    Elections 2010 Kate Kamba ni nani hasa na anasimamia nini?

    Kwa sasa ni mbunge wa Africa Mashariki. Ni mmoja wa mafisadi. Kuna wakati alikuwa ni mjumbe wa tume ya kurekebisha mashirika ya Umma na akuziwa eneo lilikuwa la NAPOCCO kule Gongolamboto kwa bei chee akaanzisha shule,Sasa kagawa eneo kawauzia Kampala International University na pia mmoja wa...
  14. I

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    1. Kudua na kugosha chedi nini? 2. Ugali moto, mboga moto- (Lingine linajibu vitaliwa na moto wake)
  15. I

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
  16. I

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    Nimesoma kwenye news kajitokeza kwenye kura za maoni kwa tiketi ya CCM( Mwananchi 21 July,2010) na mengine
  17. I

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    AS mentioned, Hata mimi nadhani Mpoki Deserve. Alisoma Ilboru Seconadry in 90's na wakati huo kulikiuwa na watoto wengi walirudi kusoma nchini toka nje ya nchi, hakuwa na classes kama wengine, was friendly na mtu wa watu
Back
Top Bottom