Hivyo ndivyo CDM inavyoendeshwa kiubabe. Hawa jamaa hawatopewa nchi hata kidogo. Viongozi wa CDM ni sawa na Hitler, hii ni hatari kwa nchi.
Angalia huyu jamaa wa CDM anavyotishia wenzake, wow!!. Unadhani huu ni mwaka 1967?
Muslim conquests (Arabic: الغزوات‎, al-Ġazawāt or الفتوحات الإسلامية, al-Fatūḥāt al-Islāmiyya) also referred to as...
Muslim conquests (Arabic: الغزوات‎, al-Ġazawāt or الفتوحات الإسلامية, al-Fatūḥāt al-Islāmiyya) also referred to as...
Muslim conquests (Arabic: الغزوات‎, al-Ġazawāt or الفتوحات الإسلامية, al-Fatūḥāt al-Islāmiyya) also referred to as...
siyo kweli maneno yako. Na huyu mwandishi je?
Kama si Nyerere, tusingekuwa na ombwe hili la uongozi!
Evarist Chahali
Uskochi
29 Jun 2011
Toleo na 192
WIKI hii ninazungumzia jambo linaloweza kuwakera baadhi ya wasomaji wa safu hii; ninajaribu kumkosoa mwasisi wa Taifa letu, Mwalimu...
Kuwa mzalendo. Na kama ni habari za kweli, basi inabidi WTZ wote tushangilie, hii ni GREAT NEWS kwa nchi. Usijali kuhusu umeme, hizi kampuni kubwa zinatumia umeme wao wenyewe wa solar au generator. Hadi barabara wanajenga zao wenyewe. Ni habari nzuri.
Hujui kwamba Dar ni ya Waislamu. Ndiyo maana humuoni mtu wa Kanisa wenu Padre Slaa kuja huku. Kuna counter attack ambayo inamsubiri Slaa. JK, ataweka kila kitu sawa kwa Waislamu. Hiyo inequalities unayosema itapungua. Mwaka 2015 lazima Rais awe muislamu ili tuweke usawa wa utawala, kwa sababu...
Ni vizuri kuona mataifa mbalimbali yanatoa watu ambao wanafanya mambo ya maana duniani kupitia mgongo wa Marekani. Tumeona kijana Obama wazee wake kutoka EA kuwa rais, na vile vile kufahamu wazee wa Steve Jobs kutoka ktk nchi ambazo ni maskini duniani. Je Marekani ina siri gani ambayo nchi...
Steve Jobs is a biological Arab-Muslim American with roots in SyriaFebruary 28, 2011 ⋅ 8:41 pm ⋅ Post a comment
Filed Under Apple, AUB, Business, Lebanon, Steve Jobs, Syria
By Mohannad Al-Haj Ali
Steve Jobs is the founder of Apple, Pixar, and NeXT Computer
Steve Jobs, arguably...
Kulikuwa na haja muhimu ya kuweka hadharani posho za Slaa, kwa sababu alikuwa anataka aongezewe zaidi. Hapo ndipo Mbowe akaona bora atoe hadharani kwa makusudi ili tuangalie mkakati mwingine. Usiwe na pressure, kuna process ya kumuondoa Slaa, ambayo inapikwa sasa hivi.
Yes, alifanya kwa makusudi. Kuna mpango maalum unaandaliwa wa kumuondoa Dr. Slaa madarakani, kwa sababu Slaa haisaidii chama zaidi ya kuropoka tu kila siku. Upo mkakati maalum ambao unafanyika wa kumuondoa Slaa, haraka iwezakanavyo.
Wakati umefika wa kumfananisha Nyerere na Hitler. Nyerere kaua, kawahamisha watu sehemu zao za kuishi na kuwapeleka vijijini. Hitler alifanya sawa sawa na Nyerere.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.