Search results

  1. gfesto

    Nani atabaki

  2. gfesto

    BAVICHA watoa Masaa 72 Serikali kutoa mikopo

    Bavicha wametoa saa 72 Serikali iwe imetoa mikopo kwa wanachuo. SWALI: Kwanini bavicha wasitoe saa 24 CHADEMA iwe imewalipa wale wote waliyokuwa mawakala wao siku ya uchaguzi kwa sababu hadi leo wana lalamika hawajalipwa? Au ndo kuingilia kazi zisizo wahusu ili waonekane wao ni bora sana?
  3. gfesto

    Kichinjio

    Tarehe 25/10/2015 unaamka na kijiandaa tayari kwenda kupiga kura. Unaenda kuchukua kichinjio ulipoweka, ghafla hakipo!! Nini utafanya?
  4. gfesto

    Mabadiliko

    Taja sababu mojawapo iliyosababisha ukubali mabadiliko. Naanza mwenyewe., Serikali kushindwa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji hadi kufikia hatua ya watu kuuwana. Endelea ..........
  5. gfesto

    Ukawa;!

    :cool:
  6. gfesto

    Katibu Mkuu wa CCM

    Sijaona jipya kwa Mzee Kinana tofauti na kuwahadaa wanawake na wazee tu kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu. Kama wewe umeona jipya tuambie.
  7. gfesto

    Watangaza nia wanatumia magari ya nani?

    Hawa mawaziri wanao tangaza nia, magari wanayo tumia katika safari zao huko mikoani, ni magari yao binafsi au ya sirikali?
  8. gfesto

    Timu ya Taifa

    Hii timu yetu ya taifa kama ni majina tu,! Ilishakuwa na majina mengi. Pamoja na hayo yote nisawa na kumpigia mbuzi gitaa. Makocha wa aina zote! lakini wapi. Kwa nini J. Malinzi asiichukue timu yake waende kwa mzee Rukhusa wakamwombe atengue ile kauli yake ya soka la Tanzania ni sawa na kichwa...
  9. gfesto

    Kuchagua kazi

    Tofauti na kazi uliyonayo, ungependa kufanya kazi gani? Labda ulipokuwa mdogo ulikuwa unasema nikiwa mkubwa napenda kufanya kazi fulani na sasa siyo kazi uifanyayo.
  10. gfesto

    Polisi na madawa ya kulevya

    Polisi wanapokamata madawa ya kulevya kama bangi n.k, hutangazia umma na kutuonyesha kwenye vyombo vya habari. Swali: mbona sijawahi kusikia wala kuona wakitangazia umma huohuo kwamba leo au kesho tunateketeza madawa ya kulevya tuliyoyakamata?
  11. gfesto

    Urais huu bhana!!

    Ngeleja nae naona kaposho ka escrow kamemsukuma hadi kutangaza nia. Nadhani kama JK muda ungekuwa unaendelea, wange mpindua kwa sababu ni wengi mno hadi inakera. Wanamkashifu JK utadhani hawakuwa viongozi wa awamu ya nne!!!
  12. gfesto

    Kamanda wa polisi Arusha

    Kawaagiza abiria wa mabasi kuwa, wawapige picha madereva wanaotoa rushwa kwa askari wa usalama barabarani na kuzituma kwa wahusika. Mara hii tu amesahau ya mwandishi wa habari Jerry Mulo aliyewapiga picha traffic wakipokea rushwa na wakamuundia zengwe kwamba kamuomba rushwa mkurugenzi fulani ya...
  13. gfesto

    Walemavu wa ngozi

    Zeruzeru, Albino, Albinizim, Walemavu wa ngozi, Wenye ualbino n.k naomba kujua jina kamili kati ya haya ni lipi? Nauliza hivi kwa kuwa nimewasikia kwenye vyombo vya habari wakivutana. Kipi bora kwao, kutafuta jina zurii au kuibana Serikali iwahakikishie usalama wa uhai wao? Je misaada...
  14. gfesto

    Kuna sheria inawatambua Polisi jamii?

    Jamani ee, hivi hawa wananchi wanaolinda usiku (sungusungu ) wakiwasaidia polisi kama ulinzi shirikishi au polisi jamii, Je, kuna kipengele kinacho watambua na kuwatetea kulingana na kazi wanayoifanya? Nauliza hivyo kwa sababu wale jamaa wakikudaka umechelewa, " hata ukiwaonyesha kitambulisho...
  15. gfesto

    Naomba kujua

    Kati ya Vyama vyote vya siasa tulivyonavyo Tanzania, ni chama kipi ambacho unaweza kusimama kwa uhakika na kusema chama hiki ndo chama cha Watanzania kwa sababu kiko mbele kutetea maslahi ya Watanzania" ?
  16. gfesto

    Akaunti nje ya nchi

    Katiba inayopendezwa inasema kiongozi wa Umma atawekewa masharti ya kufungua account nje ya nchi. Kumbe yaleyalee tuliyonayo sasa ndo yanaendelea tena. Tutafakari sana kabla siku ya kupiga kura kuhusu Katiba haijafika "
  17. gfesto

    Sikukuu za Taifa

    Uhuru wa Tanganyika tarehe 9 December Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 January Siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tarehe 26 April Swali: Tunaadhimishaje siku ya Taifa ambalo halipo?
  18. gfesto

    Katiba inayopendekezwa

    MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO: 75: Mamlaka ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano 76: Mamlaka ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mambo yasiyo ya muungano Swali; Kwa nini namba 77 isingekuwa Mamlaka ya Serikali ya Tanganyika kwa mambo yasiyo ya muungano? Badala yake namba 77 imekuwa hivi "...
  19. gfesto

    Nani alaumiwe utalii wa Serengeti?

    ''Mtegemea cha nduguye..'' Hivi ni kweli kwa dunia ya leo Tanzania ni ya kulaumu Kenya na kuwabembeleza wakati asilimia kubwa ya Mbuga ya Serengeti ipo kwetu! Wakati Sirikali ikiua shirika la ndege ATC ilikuwa inategemea nini? Wacha tukome, halafu hamchoki kusema kwa viapo feki eti Serikali...
  20. gfesto

    Ulinzi wa amani

    Jeshi la Tanzania JWTZ kwenda kulinda amani nchi nyingine kama vile Drc, Sudan n.k, Swali: Ni kuganga njaa au ni umahiri wa jeshi letu na kuaminiwa na nchi za wenzetu kuwa tunaweza sana na tuna mbinu nyingi za kukabiliana na adui? Nauliza hivyo kwa sababu sijaona nchi kama Misri, Tunisia...
Back
Top Bottom