Search results

  1. Phlagiey

    Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Kabla sijajibu kitu naomba kufahamu kama gari yako inatumia diesel au petrol? sababu kuna tofauti ya kufanya visual inspection kati ya gari ya petrol na diesel inapotokea tatizo la starting kama hili..
  2. Phlagiey

    Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Mkuu umeandika kitalaamu au umeandika kwa uzoefu wa mtaa? Kwanza kabisa plug haiwezi kushika kutu kutoka na mazingira yake ya utendaji bali inaweza kushika kitu kama masizi yanayotokana na mlipuko katika combustion chamber Lakini pia plug haiwezi kuwa sababu ya starter motor kushindwa...
  3. Phlagiey

    Msaada: Simu yangu ina tatizo la "Ghost touch" na sijawahi hata kuidondosha

    zous, hilo siyo tatizo hayo ni matokeo ya tatizo, tatizo lenye bado halijabainika.
  4. Phlagiey

    Utatuzi wa hili upoje wataalamu wa computer

    Hiyo chaji umekuwa ukiitumia muda wote kabla ya hilo tatizo? Kama jibu ni ndiyo, basi tatizo litakuwa kwenye charging stystem.. Suluhisho kabla ya kuingia kwenye mfumo wa chaji Hatua ya kwanza ni kubaini je battery yako inabadiliko lolote la utunzaji moto kabla na baada ya tatizo
  5. Phlagiey

    TANZIA Mwana JamiiForums Charity Kasubi afariki dunia

    Wapi mleta uzi alipoandika amefariki leo? au umeamua kutia chumvi
  6. Phlagiey

    Nahitaji kurudisha fadhila, namtafuta mtu huyu

    naomba kama Umeoa kama Hujaoa Nahitaji kukulipa Fadhila Asanteni Kwa Ujumbe Mrefu. ANGALIZO: "Sitafuti Mpenzi" Nimesoma stori yote nimeelewa hapo tu.
  7. Phlagiey

    Waliohusika na mauaji ya watu 17 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Huo muda sasa, siyo kila mtu ni mzuri kwenye kusimulia, ndiyo sababu nimesema anaetaka aingie yotube.
  8. Phlagiey

    Waliohusika na mauaji ya watu 17 wahukumiwa kunyongwa hadi kufa

    Kwa wale ambao hawajui kuhusu hili tukio lipo yotube, katika mauaji haya alipona mtoto mdogo ambae alichukuliwa na serikali kwenda Dar-es-saalam kuishi na kusomea huko.
  9. Phlagiey

    Askofu Mwamakula kuongoza matembezi ya hiyari kuhamasisha Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Huyu mzee atulie asitafute matatizo na sirikali hauji kama hizo ndiyo silaha kubwa za sirikali kuwachapia wanyonge.. Vuta picha kuna tume huru ya uchaguzi ambayo ndani yake kuna viongozi waotokana na vyama vya siasa kila mmoja anapigania masirahi ya chama chake! Vuta picha wakurugenzi siyo...
  10. Phlagiey

    Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    Sawa, lakini siyo kwa hesabu hizo na mawazo hayo.
  11. Phlagiey

    Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

    Mkuu acha kurahisisha hesabu biashara haiko hivyo.
  12. Phlagiey

    Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Vipodozi vipo vya aina nyingi tu, unachotakiwa kufanya ni kutafanya utafiti ili kugundua ni vipodozi vipi ambavyo vinaruhusiwa kuingia nchi na vinatoa matokeo chanya kwa mtumiaji(mteja) Kuna vipodozi aina 933 ambavyo vimetambuliwa na kusajiliwa na mamlaka ya dawa vifaa tiba na vitendanishi...
  13. Phlagiey

    Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    😄😄😄 mkuu punguza hasira umekula kichuri?
  14. Phlagiey

    Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

    Ile picha ya Yesu kwamba ndiyo Yesu mwenyewe yule, pamoja na zile sinema zake watu wamekariri wamba ni yeye.
  15. Phlagiey

    Naomba kuelimishwa kuhusu marais wa Zanzibar kuwa na mpambe mmoja tofauti na huku

    Ukiambiwa vyombo vya ulinzi na usalama ni jambo la muungano unapata jibu gani hapo?
  16. Phlagiey

    Naomba kuelimishwa kuhusu marais wa Zanzibar kuwa na mpambe mmoja tofauti na huku

    Unapohoji kuhusu hili ukumbuke kwamba hilo ni jimbo la Tanganyika.
  17. Phlagiey

    Orodha ya benki za biashara zilizofungwa 2015-2020

    Orodhesha na ambazo zimefunguliwa ili kuweka mizania sawa, kisha usisahau na zile mbili zilizofunga ndoa na sasa ni benki moja.
Back
Top Bottom