Search results

  1. Jalema

    Chombo cha kuchunguza jua chatoa picha za karibu zaidi kuwahi kupigwa

    CHANZO CHA PICHA, SOLAR ORBITER/EUI TEAM (ESA & NASA) Maelezo ya picha, Mshale unaonesha mwako. Picha za jua zilizopigwa kutoka umbali wa kilomita milioni 77 tu ni za hivi karibu kuwahi kupigwa kwa karibu zaidi kwa kutumia kamera. Picha hizo ni kutoka Shirika la Anga la Ulaya kupitia setilaiti...
  2. Jalema

    Ni sahihi kisheria mtu kukatwa mkopo mara mbili kwa wakati mmoja kabla ya mshahara kuingia na baada ya mshahara kuingia?

    Habari zenu wakuu bila kuzunguka acha niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni muajiriwa katika taasisi moja hapa nchini.Miaka miwili iliyopita nilichukua mkopo katika benki moja maarufu tu.Baada tu ya mkopo kuingia kwenye account yangu mwezi uliofuta nilianza kukatwa mshahara...
  3. Jalema

    Glasi na bilauri

    Wadau nimeikuta kwenye televisheni mtangazaji aliuliza mwishoe hakutoa jibu. Binafsi sijui Nini tafauti kati ya glass na bilauri? POVU RUKSA
  4. Jalema

    Pushapu asubuhi

    Wale wa pushapu asibuhi tukutane humu. Maana inasemekana kupiga pushap asubuhi ni jambo la kheri na husaidia kujenga afya ya mwili. Wazo huru
  5. Jalema

    Chonde chonde msaada wataalam kichwa kinapasuka

    Hapa nilipo ni mwezi sasa unakatika kila siku lazima nimeze diclopa mbili asubui na jioni laa sivyo nitashindwa hata kuamka kitandani maana maumivu ya kichwa yananisumbua kweli kweli napata mafua mazito sana yanayokaribia kukauka mda mwine yanakua kama na mchamchanga na vumbi na kila nikivuta...
  6. Jalema

    Mwenye dikoda ya azam tafadhali

    Mwenye dikoda ya azam fedha ipo njo pm uchukue chako
  7. Jalema

    Nahitaji Mabati ya migongo mipana

    Nahitaji mabati ya migongo mipana ya alaph mwenye nayo njoo pm tufanye biashara chap
  8. Jalema

    Adaiwa kujiua kwa kujirusha baharini akiwa kwenye boti

    ASKARI WA JWTZ ADAIWA KUJIUA KWA KUJIRUSHA BAHARINI AKISAFIRI NA BOTI Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), amefariki dunia baada ya kujirusha baharini akisafiri na boti ya Azam. Kifo cha askari huyo ni moja ya matukio matatu ya watu waliojitupa baharini wakiwa safarini kwa kutumia...
  9. Jalema

    Wapi naweza kupata miche ya almonds Tanzania?

    Wadau msaada haya matunda ya almonds hapa bongo inapatikana sehemu gani.je mti wake unastawi kama nikiamua kuupanda na unachukua mda gani mpaka unakua na kutoa matunda.wapi ntapata mche wake?
  10. Jalema

    Dstv sio wema kuwa makini

    Nilinunua kishumbusi chao tar 13/01/2018 wakanipa huduma ya bure ya kifurushi cha bomba. Hadi tar 01/02/2018 nikaamua kulipia kifurushi cha family kwa sh 39000 nikasema ngoja nijaribu nione huduma zao. Leo tar 14.02.2018 wamesitisha huduma wakaniachia channel moja tu no 100 dish. Nimetumia...
  11. Jalema

    Gazetted officer

    Wadau katika pitapita zangu za nakala na makala mbali mbali nimekutana na hii kitu G.O gazetted officer na non gazetted officer sasa hapo nnashindwa kuelewa ni maofisa wa idara gani na huwa wanateuliwa na nani wanashughulika na nini na dhumuni la hao watu ni kitu gani...
  12. Jalema

    Baada ya kuzuia viroba vijana bado wanalewa kwa bei ile ile ya kiroba

    Katika pitapita zangu za mikoa mbali mbali nimegundua lile zoezi la kutokomeza viroba limefanikiwa ila bado vijana wanalewa tu mida ya kazi kumbe wale wauza viroba wamegundua mbinu mpya siku hizi wananunua lile chupa kubwa la konyagi,k vant wanauza kwa vibilauri vidogovidogo kama vile vya...
  13. Jalema

    King'amuzi

    Nahitaji king'amuzi cha azam au zuku nipo dar ntafute kwa no 0763425215 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Jalema

    Msaada tutani wadau

    Naomba kuelimishwa kitu kimoja maana hali nitete kwa ndugu yangu na familia yake. Ni hivi wao wote wawili group lao la damu ni B+. Sasa mkewe amejifungua mtoto kapimwa damu Ana group O hii inawezekana mtoto kua blood group tofauti na wazazi wake au mama alimsaliti baba?
  15. Jalema

    Landrover 109 for sale

    land rover 109 short chassis petrol engine inauzwa inatakiwa 2.5 million iko vizur barabarani inatembea kama unaitaj weka contact nikutafute
  16. Jalema

    Msaada: Nahitaji kujuzwa nauli ya ndege

    Nahitaji kujuzwa nauli ya ndege kutoka Mbeya mpaka Kilimanjaro ni kiasi gani. Ni hilo tu wadau
Back
Top Bottom