Search results

  1. S

    Huwa Rais anafikiria nini katika uteuzi wake?

    pia nahisi sababu nyingine kubwa ni kuhofia mapinduzi ya kijeshi kwani hawa watu wakiwa mtaani bila kazi na kama unavyojua mafao yao kuwa ni kidogo sana hivyo kuwa rahisi kushawishika na hatma yao huo nio kuchukua nchi kaka
  2. S

    Naomba Nijitambulishe Kwenu - Big Lady

    karibu sana mama, tupo pamoja katika hii jukwaaa letu la kubadilishana mawazo hope to learn a lot from you. kaka yoko mtui
  3. S

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    huyu ni pumbaza wa fikra na bora akalime kwani anadhani kuwa hizi ni enzi za ujima naomba akampeleke mkeo na wannae kwani hao ndio wahaini na hajui asemacho. ila chama kinaelekea pabaya
  4. S

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    nadhani hamjui juu ya hayo myasemayo, kuna mamlaka zinazo husika kuidhinisha hizo pesa na kama ni kweli hao ndio wezi na so spika, acheni kupika majungu, leteni ushahidi ; kwangu hizo ni porojop tu,
  5. S

    Kingunge amechanganyikiwa?

    mzee wangu umechoka,fikra zako ni za kichovu huna jipya na usipokuwa mwangalifu utajondolea heshma kubwa uliyo nayo mbele ya umma wa watanzania, kumbuka hizi ni zama za fikra hura kila mtu au taasisi ina haki yakutoa mawazo yake na nijuu ya watanzania kupima na kuamua,pia namshangaa huyu babu...
  6. S

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    huyu mzee nandhani anazeeka vibaya, pia anaanza kukosa sifa za kuwa mwandishi bora wa habari, anachofanya ni kulazimisha fikra na mtazamo wake uwe ndio msimamo wa jamii, pia anaharibu sifa yake na hata sifa ya kipindi pia, namshauri awe na proffesional ethics ili jamii iweze kumpa heshma stahiki
  7. S

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    ni fikra zangu kuwa tunaogopa kuwataja hao mawaziri vihiyo, ila hizi ni zama ukweli na uwazi, na zaidi ya hayo the concept of freedom of expression, tuna haki tena yenye kulindwa kikatiba, hivyo kama akweli unamfahamu waziri kihiyo wewe mtaje ili uma wa watanzania unufaike na kujua ni kwa...
  8. S

    Listi ya wabunge MATAJIRI Tanzania

    Ni fikra zangu kuwa sehemu kubwa ya wabunge si maskini, kwani maslai yao mengi nikufuru hata kwa sisi wapinga kura kujua, ila wapo matajiRI watafutaji kama ndesamburo,pia mkono
  9. S

    'Uchuro' waingia CHADEMA

    Hiyo ni mikakati ya maadui kukivuruga chama; ila naamini kuwa chadema ni chama cha watu makini na wala hakiongozwi na majungu bali kawa sera na kanuni, ni chama chenye dira na mwelekeo juu ya mustakabli wa taifa letu,
  10. S

    Hillary Clinton kutembelea Kenya. Wakenya watupiga bao.

    l dont share the same opinion with those who think hillary clinton going to key is a point to think that kenya is in any advantage over Tanzania, first we need to think of the reasons beahind such trips, and always remember that the americans have samething potential behind each and everything...
  11. S

    Hi everybody

    Hello.... This is sirily mtui, a new member wish to introduce myself to every existing member of this forum, mimi ni mwanasheria kitaaluma na ninafanya kazi hapa rita, ni matumaini yangu kuwa nitajifunza mengi kutoka kwenu wanajukwaa.
  12. S

    Mjue Issa Michuzi

    Jamii haikosi cha kusema, hasa pale wanapopata jukwaa la kusemea , kuhusu swala issa michuzi si jambo la kushangaza kwani mti wenye matunda mazuri ndio hurushiwa mawe hivyo hayo maneno yasikukatishe taa, kaza uzi kaka, ukweli sisi twaujua
Back
Top Bottom