Search results

  1. SaaMbovu

    Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

    Umekula Mihogo lakini?
  2. SaaMbovu

    Mzamiru Yassin Kiungo Punda ndio mido mzawa bora kwa sasa

    Naona tatizo hilo limepungua.
  3. SaaMbovu

    Serikali yakiri Umeme hautoshi, TANESCO ina upungufu wa Megawati 190

    Katika miundo mbinu ya usambazaji umeme wa juu (overhead distribution) hutokea changamoto (faults) ambazo zinaweza kusababisha umeme kukatika. Sababu hizo huitwa. Faults zipo nyingi (sina haja ya kuelezea) Tabia ya fault inasababisha circuit Breaker (protection device) kujifungua kulingana na...
  4. SaaMbovu

    Usikose vifaa hivi nyumbani kwako!

    Umesahau KAMBA
  5. SaaMbovu

    Mimi ni Mkristo ila Pongezi kwa Misikiti mingi ya Dar es Salaam kutoa Bure na kwa Bei nafuu Huduma ya Maji

    Nilitaka kuchangia kwa namna hii. Nimeishi Mwananyamala Msisiri B nyuma ya Mortuary ya Hospital ya Mwananyamala. Kuna Mwarabu mmoja pale biashara yake ni usafirishaji (daladala) ndani kwakwe ana kisima na ana matanki matatu. Yeye ikifika saa kumi na nusu usiku anafungua geti watu wanachota maji...
  6. SaaMbovu

    Je, ni haki kwa wenye vyeti feki kulipwa?

    Hatari sana. Mie siwezi lipa waliogushi. Saana nitawapeleka Mahakamani.
  7. SaaMbovu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yametimia hahaha
  8. SaaMbovu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Maupay yupo Everton sasa hivi mzee.
  9. SaaMbovu

    FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

    Au Feisal vs Azam wakati Joyce alipopiga mpira ukiwa umetoka.
  10. SaaMbovu

    FT: NBC Premier League || Geita Gold 0-1 Yanga || CCM Kirumba, Mwanza || Oktoba 29, 2022

    Kabisa.. refa hata aibu hana aseme akapate ushauri kwa linesman
  11. SaaMbovu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    link jaman
  12. SaaMbovu

    Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

    Sijapenda kabisa. Wamekosa hela yangu ya kwenda uwanjani
  13. SaaMbovu

    Ulifanya kosa gani mpaka ukapewa suspension shuleni?

    [emoji28] [emoji28] [emoji28] Fala sana
  14. SaaMbovu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachezaji ndugu. Hapo hata umlete Guardiola. Wachezaji hawana ile aggressiveness kabisa.
  15. SaaMbovu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naona kabisa tunapigwa la 3
  16. SaaMbovu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Angetoa Cavani aingie Van Der Beek.
Back
Top Bottom