Msaidie apate talaka, kabla ya talaka, mpe sapoti apate chumba chake, just make sure you support her. Baada ya talaka, subiri muda kati ya miaka miwili chukua mke. Kipindi hujamchukua hakikisha unakuwa nae karibu. Owa huyo mwanamke maana umemharibia wewe.
This happens by "implication" this means, nchi itabidi iingie mikataba ya mbalimbali inayowezesha unyonyaji wa kutosha unao iwezesha nchi mdeni kuhamisha mali. Mikataba inakuwa haina mutuality, mikataba miaka 99 nk. Hii sio nadharia, it is now pratical, kwa sababu mdeni anapewa advantage of lion...
What is a problem? Ametoa mawazo yake, amemaliza, kama hujapenda, endelea na shughuli nyingine, mbpna unakakamaa hivo bro, just skip the thread and go away
Ukiwa mpenzi wa Simba au Yanga, kwa hatua hii waliofikia naona ni ujinga
tu kuendeleza ushabiki wa club, let us encourage them. Mi ni shabiki wa Simba, Yanga anapokuwa anacheza kimataifa huwa sion hata haja ya kumtakia afungwe, maana anaibeba nchi na sio mashabiki na wanachama wake
Makubaliano ya mwanzo kabisa ya mwanamme na mwanamke kuishi pamoja kama mme na mke yana msingi sana, yakivunjwa na mmojawapo kwa hira tegemea laana na karma
Inaonyesha una vigezo vyako kwa mwanamke anayekufaa na hapo umeona huyo hajakidhi. Wengi wanaweka vipaumbele vya umbile na sura kama...
Majigambo ya mtu binafsi kwenye timu tafasri yake ngumu sana. Kuna member mmoja humu alitamba kutembea uchi iwapo simba atamfunga Widad, sina uhakika kama alifanya hivo. Nadhan hizi huwa ni bange tu
Wewe kula unachotaka, haipo sheria inakuzuia, yaan kula hata mavi, hutakuwa na hatia. Usitweze chakyla ambacho wengine wanakithamini. Kwanza hii sio hoja, labda umekosa kazi ya kufanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.