Search results

  1. A

    CHADEMA ni vibaraka - Nape

    Chadema hawatofautiani na MDC ya Morgan Tsvangirai. Baba yao Tonny Blair. Kitawakuta kama kilichowakuta Tsvangirai na Raila
  2. A

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    Mnataka kusema kuwa hawa jamaa ni freemason amaa.? mi siamini hivyo..,kwa wanaojua historia ya alama hiyo wanaweza wakawaeleza ni nini hasa falsafa yake.,ni zaidi ya vile ambavyo mnavyoiona na mnavyoijadili..,ONGEZENI TAFAKARI LABDA MNAWEZA KUELEWA...!
  3. A

    Nini maama ya vidole viwili (The 'V' sign)?

    Katika Kile kilichoonekana kuwa ni ukereketwa na Ufurukutwa wa Sheikh Farid wa Uamsho kwa Chadema kiasi cha kutumia na kuitangaza Nembo ya Chadema katika harakati zake za kuendesha maandamano na mauaji ya watu wasio na hatia na watumishi wa dola. kitendo hicho kilichoibua maswali mengi ya...
  4. A

    Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini...!

    Henge unafikiri kwa kutumia masaburi kabisa! Ni tabia yao kutohudhuria shughuli za kitaifa siyo hiyo tu, si unakumbuka hawakumtambua Rais lakini wakaenda kunywa kahawa walipokuwa na lao jambo. Sisi tunawajua hao CDM wanapenda umaarufu kwa vitu vidogo vidogo kama hivyo. Lazima wajitathimini kama...
  5. A

    Hukumu ya kesi ya Tundu Lissu tarehe 27.04.2012

    Kesi hiyo siyo nzuri sana kwa Tundu Lisu hasa kutokana na Mashahidi wake kujichanganya sana. Hali hiyo ikapelekea yeye kukatiza ushahidi ndiyo maana hukumu itatolewa mapema.
  6. A

    Hukumu ya kesi ya Tundu Lissu tarehe 27.04.2012

    Hatma ya Tundu Lisu kuendelea au kutoendelea kuwa Mbunge wa Singida Mashariki ipo mikononi mwa Jaji Moses Mzuna. Baada ya kusikiliza pande zote za mtoa mashtaka na ule upande wa ushahidi, Jaji ametangaza siku ya hukumu itakuwa tarehe 27.04.2012. Nawasilisha kutoka hapa Singida.
  7. A

    Mgombea wa TLP ananafasi kubwa ya kumshinda Komu Ubunge wa Africa Mashariki

    Kwa habari nilizozipata hivi karibuni ni kwamba graph ya mgombea wa TLP ndugu Mlindoko imepanda kwa kasi sana kiasi cha kuhatarisha kura za Komu na inasemekana Augustino Lyatonga Mrema anampigia debe kali na inaelekea anakubalika kwa kasi. Mwenyekuujua ukweli zaidi atujuze tafadhali
  8. A

    Maghufuli ''is next level''

    mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe. Jamaa anachapa kazi kweli kweli.
  9. A

    Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

    Sasa wewe MAPURENDE ni mngoni wa wapi? wangoni ninao wafahamu mimi wapo makini kwenye hoja. Hoja iliyotolewa hapa ni tuhuma sasa haya ya Nape na CCM unayatoa wapi. Usitupotoshe tunahitaji kuujua ukweli kuhusu hizo tuhuma.
  10. A

    Dr Slaa Jibu tuhuma hizi...!

    Kwani tatizo hapa ni nini. Mtoa hoja amewaomba wana jamvi wanaolijua au yeye mwenyewe ajitokeze kujibu. Kosa la mtoa mada hapa ni lipi? kutujuza au kutaka kuupata ukweli??? maana sijaona katika maelezo yake kuwa anamtuhumu DR. ila ameomba kwa wanaoujua ukweli watujuze. Pili hili suala...
  11. A

    CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

    we makoye unadhani huyo Mungu ni wa CDM tu hata sisi CCM tuna Mungu na Jimbo hili ni letu. Soon mtaanza kuwewe seka hata mkimwaga mafedha kama mlivyowagawi watu kule vijijini Igunga hamchomoki ngo'. Hii ndiyo CCM zaidi ya Vampires
  12. A

    CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

    Watake wasitake wataisoma namba tena kama walivyoisoma Igunga. CHADEMA ni weupe sanaa wait and c game ndo imeanza!!!!
  13. A

    CHADEMA wazidi kujipanga; Wenje Mambo ya Nje

    Hawana watu wengine ndo maana unawaona hao hao akina zito, mnyika, wenje. Wenje hana jipya nafasi hiyo angeiweza vizuri John Mrema
  14. A

    Aliyekuwa mgombea wa UPDP Igunga ahamia CUF

    Yap igunga alikuwa maarufu kama break za nyau
  15. A

    Nape, 'Kujivua Gamba' ni danganya toto??

    Kijana mmoja wa kijapan anayeitwa Shinji Daiko aliwai kuitembelea Tanzania na kuishi hapa kwa zaidi ya miezi mitatu. Akiwasili nchini alisema Tanzania ni nchi ya kipekee, lakini hakusema upekee wake upo katika nini, siku namsindikiza uwanja wa ndege kwa ajili ya safari ya kurejea kwao...
  16. A

    Viongozi wa wilaya CHADEMA Singida wahamia CCM

    Mwenyekiti CHADEMA wa Wilaya ya Iramba ndugu Emmanuel Edgar Ntundu na Mwenyekiti wa Chadema singida Mjini ndugu Nakamia John wameahamia CCM. wengine ni Ela Samson Dyelu mwenyekiti wa baraza la wanawake, ndugu Henri Stephene Kingu katibu mwenezi wa wilaya ya Iramba na mwenyekiti wa Tawi la...
  17. A

    Nape awapokea wanachama wapya CHUO Kikuu cha Tumaini Kampasi ya SMMUCO - HIMO (Moshi)

    CCM ni taasisi kubwa sana inautaratibu WA kuwa na matawi kamili katika taasisi ya Elimu ya Juu. So hao wameingia kwa maslahi ya Chama chao na siyo mtu.
  18. A

    Nape awapokea wanachama wapya CHUO Kikuu cha Tumaini Kampasi ya SMMUCO - HIMO (Moshi)

    KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa CCM ndugu Nape Nnauye amewapokea wanachama Wapya wa CCM Tawi la SMMUCO Tawi la Tumaini HIMO. Jumla ya wanachama Wapya 193 wamejiunga na CCM na wamefungua Tawi lao rasmi leo. Pia RAIS WA serikali ya wanafunzi wa CHUO hicho ndugu Paul K. Laurent amejiunga na CCM...
  19. A

    CCM BILA UFISADI INAWEZEKANA. N.M. Nauye 2011

    CCM bila ufisadi inawezekana. Maneno hayo yalisemwa na Nnape akiongea na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St. Austine Mtwara. Aliwaeleza vijana hao kuwa historia ya chama chetu ni kuwatetea wakulima na wafanyakazi wanyonge. Sifa hiyo ya kihistoria imechafuliwa na mafisadi wachache sana.Hivyo ni...
  20. A

    TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

    TAMKO LA VIJANA WA CCM MKOA WA ARUSHA Tarehe 25/05/2011 Ndugu zangu waandishi wa habari leo tumeona tuwaite hapa ili tuweze kutoa maoni yetu kuhusiana na mustakabali wa chama chetu cha Mapinduzi na Jumuiya yetu ya Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Arusha. Tumewaita hapa kwa malengo makuu Sita:-...
Back
Top Bottom