Kabla ya mwanzoni mwa miaka ya tisini hakukuwa na msamiati machinga kwenye lugha ya Kiswahili Kwa sababu Sera za ujamaa hazikutoa fursa ya kutembeza au kupanga bidhaa barabarani. Neno la kiingereza linaloshabihiana kimaana na Wanachinga neno street vendors
Labda kama mulokozi alikuwa nabii...
Nipo Taifa VIP A na jezi yangu ya Simba nasubiri kuangalia live hii mechi. Wewe huko Kenya Azam TV ipo.
Mura GENTAMYCINE Mwanasimba mwenzangu amekimbilia Uganda 😀😀 sisi wenye roho za paka tunaomba Mungu
Neno hilo asili yake ni kabila la Mchinga lipo huko kusini. Vijana wa kimachinga toka huko Lindi? walijipatia umaarufu Jijini Dar es salaam katikati ya miaka ya tisini kwa kufanya biashara ya kuchuuza vitu Kam vile nguo,urembo,viatu,vyombo,n.k kwa kutembea mitaani au kupanga pembezoni mwa...
Kuna wanawake ni vichomi Gardner alimuacha mkewe akamvamia huyu Jaydee. Wakalala chumba kimoja na Ruge huko South Africa kama sikosei kisha wakasema nothing happened licha ya kukiri kulala chumba kimoja!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.