Search results

  1. S

    Akili za Nondo za Mbunge Musukuma Akiwashukia Vikali Wasomi Kushindwa Kufikiria Nje ya Degree Zao

    Nimesikia wabunge 30 walikwenda kwenye ziara Dubai
  2. S

    Kumbe wachaga hukodi magari mwisho wa mwaka kwenda kufanya show off kwao

    Umefanya uchunguzi ukagundua wangapi wanafanya hivyo? Kwa mfano kati ya watu 10 saba wanakodi magari.
  3. S

    Loss report sasa kupatikana kwa njia ya mtandao

    Mtandao huu haufanyi kazi kwa zaidi ya wiki sasa. Watu wanahangaika sana kupata loss report.
  4. S

    Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia ngono kuliko wanawake?

    Ukitaka kujua nani anafurahia zaidi sex kati ya me na ke, chukua kidole chako, chokonoa sikio taratibu halafu usikilizie utamu unakuja wapi, kwenye sikio ama kwenye kidole? Pili unapowashwa ukajikuna, ama kukunwa ni wapi unapata utamu?
  5. S

    Kutoka Rwanda/Burundi hadi Amboni Tanga

    Link kati ya matukio ya 1995 na mambo ya Amboni Tanga ni dhaifu mno.
  6. S

    Kitimtim Bungeni: Wenje atolewa nje ya Bunge

    Mbona sioni ama tatizo lipo upande wangu?
  7. S

    Yu wapi Tido Mhando?

    Hii ya kusema Tanzania ina wenyewe ndiyo kauli inayotufanya tuwaachie wajinga wachache waendelee kutawala nchi hii na kufanya maamuzi yanayomuathiri kila mmoja. Tujizatiti kudai nchi yetu na kuwaonyesha kuwa tuna uchungu na nchi hii. Kumbuka ule msemo nchi inajengwa na wenye moyo (na kwa...
  8. S

    Maelezo ya Brig. Gen. Al-Adawi kuhusu Dowans Feb 20/02/2011

    Kuna mambo yanatokea mengi kuhusu sakata la Dowans na yananifanya nihisi kuwa hakuna coincidence hapa. Kuna utata kwenye kauli ya Rais kuhusu kuwajua ama kutowajua wamiliki wa Dowans. Kuna mashaka juu uamuzi wa chama kuhusu kulipa deni hilo baada ya kauli za wakubwa wa chama kusema deni hilo...
  9. S

    Coco Beach siku ya Pasaka (Picha)

    Jamani tatizo hapa ni uchafu na sio kinyaa. Uchafu ni uchafu tu iwe unauangalia ukiwa nchini ama nje ya nchi kwa kutumia picha. Haupaswi kuwepo. Unapaswa kuondolewa. Tumeona picha za coco beach, lakinio yeyote atakayetembelea masoko yetu kama Kariakoo, Mwananyamala, Tandale, Buguruni nk...
  10. S

    Vitendo ndani ya School buses!

    Ni muhimu kuwe na matron ama mwalimu kwenye basi na jambo hili ni lazima tulifuatilie wote, yaani wazazi, wamiliki na mameneja wa shule na pamoja na mamlaka zinazohusika. Hatuwezi kuacha unyama wa namna hii ukiendelea.
  11. S

    Tido Mhando atemwa TBC

    Aliingia kwa uhusiano na wanasiasa japo alifanya mengi kuibadili TBC na kuifikisha hapo ilipo na ameondoka kwa uhusiano huo huo. Kitu cha kuzingatia hapa ni kuwa wanasiasa wachache sana wameshika nchi hii na wanafanya maamuzi kwa niaba ya watanzania wote milioni 40. Tatizo kubwa hapa ni kuwa...
  12. S

    She is not a child anymore, isn't she?

    Ukikila nipasie tafadhali
  13. S

    MissTz 2010: Mrembo kakosa umiss kwa kujibu vibaya

    My Take: Nani kasema kajibu vibaya? Kujibu vizuri au vibaya na kuzomewa ni vitu viwili tofauti. nafikiri tunahitaji tafakari zaidi katika kuchangia. Binafsi sioni ubaya kwa yeye kujimtaja JK (ama hata kama angekuwa mwingine yeyote) kama mchapakazi kwa kadri anavyoona yeye. Tatizo naona watu...
  14. S

    Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

    Umenena vizuri kabisa nami naongeza. Ni nani aliyeonja akaacha kuoa/kuolewa kwa sababu si tamu? Pili (hili linahitaji honesty) nini kinafanya watu kuoana ni utamu wa nanilii?
  15. S

    Scholarships in India 2010/2011

    na mimi nimeshindwa!
  16. S

    Madee amekufuru!

    Babu yao umesema kweli, jamii inabidi itofautishe mchumba, mpenzi na rafiki. Naona kama tunaiga mno utamaduni wa wenzetu wa nje kiasi cha kutia aibu. Fikiria ungekuwa mzazi ama ndugu wa karibu wa binti aliyefariki ungejisikiaje kuwaona vijana wenye sura za BANGE wanalia tena kwa maonyesho kwenye...
  17. S

    Madee amekufuru!

    Nasikitika sana kwa sababu kuna gazeti moja lina picha za msiba na habari fulani ambayo naona inawaongezea uchungu wafiwa. Wanadramatize kwa nini huyu msanii hakutajwa kwenye msiba katika utambulisho na mambo mengine mengi ya kijinga.
  18. S

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Yaani ni pingu tu zinatufanya tumfikirie kama ni usalama wa taifa?!! Hapana.
  19. S

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Tobaa!!! Yarabi, tumefikia kulinganisha kifo cha Kombe na soo la Muro!!! Sasa tunaenda mbali kwa kutaka kumtetea mwandishi. Jamani suala la Kombe kwa sasa sio siri tena lakini kwa vyovyote haliwezi kulinganishwa na suala la Muro. Jamani, huyu ni mwandishi wa habari ambaye amekuwa celebrity kwa...
  20. S

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Nasikitika, bado ukweli juu ya jambo hili haujulikani. Tumebaki kikisia na kunukuu vyombo vya habari ambavyo katika hili nao sio makini, hawana uchambuzi na kwa vyovyote vile hawawezi kuaminika. Nasubiri taarifa za baadaye leo.
Back
Top Bottom