Search results

  1. the deadline

    Zitto: Hali ya uchumi ya watu wetu hapa Tanzania ni mbaya sana

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hali ya uchumi nchini imezidi kubwa mbaya katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
  2. the deadline

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    1. Haki na madaraka ya kumpiga mtu haimwondelei mtu huyo haki ya kulia. Kwa hiyo kumchapa mtu kisha ukamwambia "funga mdomo" ni kujipa haki isiyo yako. Iliyo yako ni kuchapa. Mchapwaji ana haki ya kulia na kutolia. Haki hii haiondolewi na mamlaka yoyote ya duniani wala kuzimu. 2. Mtawaliwa ana...
  3. the deadline

    Wabunge 8 na madiwani 2 wa CUF waliofukuzwa, Warudishiwa Uanachama hadi kesi ya Msingi itakapotolewa Uamuzi na Mahakama

    MAHAKAMA Kuu ya Dar es Salaam imetengua kufukwa uanchama wabunge nane na madiwani wawili, huku wameitaka Bodi ya Udhamini iliyokuwa chini ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Prof, Ibrahim Lipumba kufika mahakamani Jumatatu kwa mahojiano, Jaji Lugano Mwandambo ametoa maamuzi hayo leo kwa kusitisha...
  4. the deadline

    Lazaro Nyalandu akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Lowassa

    Lowassa amemkaribisha Nyalandu upinzani akimtaka washirikiane kuhakikisha 2020 wanashinda Uchaguzi Mkuu. my take kwa hali hii naamini chama tawala hutolewa madalakani na watu wa chama tawala...so naona chadema ikulu 2020 kama kutakuwa na freedom ku vote na kuhesabu kura
  5. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    we kaa kimya ...rais kanunua ndege nyingi za wapi.........yan vindege hiv ambavyo kwanza vinakamatwa na wadeni ndio vilete revolution ya viwanja...KIA Ilibinafsishwa coz of wizi wa serikali yetu mpaka ukashindwa kujiendesha si kwamba hawapati pesa
  6. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    ohhh ndio maana ......yani hawa huwa wananichanganya mpaka nahisi huwa wanajibu wakiwa studio tena pamoja......ila hela zetu walipa kodi zinachezewa balaaa.....
  7. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    yani kijana unasifia kuweka expensive airport kama ile kuwa an altenative one.....kwa nchi ambayo bado ina uhitaji wa viwanja vikubwa kwa sehemu kama kigoma,dodoma,rukwa na sehemu zote za mipaka ya tanzania......kweli elimu inahitajika
  8. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    sor ry kaka waweza nipa new knoledge hivi kumbe wanaosifia ujinga humu JF wanalipwa kwa siku?
  9. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    sasa we jamaa hivi unapima umuhimu wa kiwanja cha ndege kwa hivyo? fumbuka ndugu
  10. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    kaka fedha za project hizi kubwa huwa tunaandika averages
  11. the deadline

    Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano - Profesa Makame Mbarawa ameweka jiwe la msingi katika uwanja wa ndege wa Chato wenye kiwango cha daraja la 4C unaojengwa kwa gharama ya Sh. Bilioni 39.15. Akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi uliofanyika Novemba 4 , 2017, Waziri...
  12. the deadline

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    'hawa wananchi wa mwanza ndio walionipa urais' . hapa najiuliza kumbe ukimpa kura ndio unajenga maeneo ya serikali....Dar tutanyooka
  13. the deadline

    Maoni mbalimbali kutoka kwa viongozi/mitandaoni baada ya Lazaro Nyalandu kujivua ubunge na kuomba kuhamia CHADEMA

    Mbunge wa Kigoma Mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo Zitto Kabwe amefunguka na kumpongeza aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini Nyalandu ambaye leo Oktoba 30, 2017 amefanya maamuzi ya kuachana na CCM na kusema kiongozi huyo amefanya maamuzi sahihi. Zitto Kabwe amesema kuwa kutokana na uchumi...
  14. the deadline

    UKONGA MOMBASA, DAR: Polisi watembeza kichapo kwa raia. Yadaiwa kuna askari kauawa na raia

    mi ndio maana nakwepaga TRA ...siwezi lipa kodi inayotumika kununua mafuta na vrungu plus bunduki ya kunudhuru bila hatia
  15. the deadline

    Je, Tundu Lissu kupata kura za huruma?

    u are so stupid buddy....yaani unamtabiria mtu afya ...tena wewe naapa utakuwa marehemu by 2020
Back
Top Bottom