Search results

  1. kansinsi

    Njia rahisi ya kuondoa matangazo kwenye simu zenye Android 9 kuendelea bila kuroot

    Essaisaada SIM yangu imezima nawalaiigizi moto nifanyeje msaada
  2. kansinsi

    Msaada: Mafundi Laptop Na Simu Nitapata Wapi Hiki Kifaa (DC Power Supply)

    Mafundi naomba Msaada wenu SIM yangu imezima yenyewe tu aina y'a Samsung not edge je nifanyeje
  3. kansinsi

    Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    mkuu samahani hapo unatakiwa uwe na Receiver ya aina gani maana mimi nina qsat G11 je inafaa nakwatumia dish ya ft8 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kansinsi

    Msaada: King'amuzi cha free to air (FTA)

    mwalim nauliza ni channel gani za ltanzania zinapatikana kupitia android au sim
  5. kansinsi

    Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6

    Mkuu ni app gani inaweza kufunga azam tv kupitia android box Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kansinsi

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Mzee nisaidie ni. App gani nzuri inayoweza kusapoti channel Za sport Za afirica
  7. kansinsi

    Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

    Mkuu Mimi naomba Msaada wa kujua app ipi nzuri tofauti na mobdro ambayo inaonyesha ligi zote za Africa
  8. kansinsi

    IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

    Mkuu Mimi Nina qusat 11je kwenye hizo channel pamoja MA key zake zinaweza kufanya kazi kwenye hiyo receive
  9. kansinsi

    Ugonjwa wa retina ya macho unaosababishwa na kisukari

    Je doctor nini nikitumia asali mbichi ninaweza kupona tatizo LA macho Kama jinsi ulivyo elezea samahani naomba ushauri
  10. kansinsi

    Kuweka IPTV Katika Receiver

    Mkuu samahani nikuwa naomba mawasiliano yako
  11. kansinsi

    IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

    Mkuu naomba mawasiliano mkuu
  12. kansinsi

    IPTV, BISS,IKS,POWERVU, Tandberg(satstar)

    Mkuu naomba mawasiliano yako Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kansinsi

    Ushauri jamani niinunue hiinunue hii simu??

    Mkuu msaada nataka kununua infinix zero kwa sh 550000 je ni sawa au jamaa kanipiga
  14. kansinsi

    App ya kuchekia mechi kwenye android

    Mzee njunwa nilikuwa naomba msaada wako nina box SR9 android inakataa kuistoo google play je nifanye msaada tafadhali
  15. kansinsi

    Samsung ipi nzuri?

    Wadau samahani napenda kuuliza hivi kati oppo sim lenovo sim ni ipi kiwango ka ubora
  16. kansinsi

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Oppo je zenyewe hauna?
  17. kansinsi

    Naomba ushauri uc browser kwenye simu yangu inafail kudownload

    Msaada jamani wana JF samsung note edge na oppo f1 plus ipi mambo?
  18. kansinsi

    Msaada. Naitaji kuroot simu yangu tecno W5

    Msaada nataka kununua sim kuna samsung note edge na kuna oppo f1 plus je kati ya hizo mbili ninunue ipi msaada tafadhali
Back
Top Bottom