App ya kuchekia mechi kwenye android

Robert mp

JF-Expert Member
Mar 2, 2013
200
21
Jaman msaada mwenzenu app nzuri ya kuchekia mipira isiyo gandaganda.kwan leo tv yangu imeungua na kuna gemu za uefa.natanguliza shukran kwenu.achana na mobdro app
 
Kila unalotakiwa kujua kuhusu iptv kuangalia tv kwa kutumia internet
Tafuta Topiki hiyo hapa jamii forum utapata jibu la unacho kitafuta
 
Kuna moja inaitwa modbro ni nzuri na aina mbwembwe..google modbro apk watakupa official site yao.

Pia kuna uzi juu huko kuhusu iptv humo kuna app inaitwa kodi ni nzuri zaidi kama ukifata maelezo na kuipata fresh.
 
Labda ungeeleza humo kwenye Mobodro kitu gani una Miss?
Pia nimeona wengine sijui wanatumia Ustream

Ila sasa najiuliza macho hayaumi kuangalia 90 minutes game zima kwenye screen ya 3"-5.5"?
Je zikiwepo gemu tatu?

Just asking!
 
Labda ungeeleza humo kwenye Mobodro kitu gani una Miss?
Pia nimeona wengine sijui wanatumia Ustream

Ila sasa najiuliza macho hayaumi kuangalia 90 minutes game zima kwenye screen ya 3"-5.5"?
Je zikiwepo gemu tatu?

Just asking!

Unaunganisha kwenye tv kwa kutumia screen mirroring.
 
Aisee live tv ndio ugonjwa wangu mkubwa napenda sana naomba msaada wa app. nzuri ya live soccer tv kwa mimi ustream inakeama mno
 
Mzee njunwa nilikuwa naomba msaada wako nina box SR9 android inakataa kuistoo google play je nifanye msaada tafadhali
 
Mobdro Apk lakini uwe na bando lakutosha hasa wenye bando za university ndo wanaweza kustream vzr tofaut na bando hilo ni shida maana inakula mb sana
 
Mobdro imeshakua ya Kifala Siku za Mda wa Mpira Channel wanazi block kwa Muda
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom