Jaman ebu tutumie akili kidogo hawa vijana wanawadhuru walala hoi wenzao ndo maana tunawalaani asilimia zote.lakin mafisadi hawaji kupora simu yako wala bodaboda yako.siwatetei mafisadi!
Labda mimi niseme kwamba zito ni mtu makini sana katika taifa hili,ni mtu alie tuamsha watz wengi hasa kipindi kile cha bunge lililopita akishirikiana na dr slaa na hamad rashid.tatzo letu watz ni wepesi wa kuchukuliana hatua hasa mtu anapogusa aidha nafasi ya mtu ya uongoz au maslahi ya...
ni ajali mbaya sana gari ndogo imewaparamia wanafunzi wakati wanakimbia mchakamchaka na kuua 5 on the spot na majeruhi wengi sana, ni shule inayofadhiliwa na mustafa sabodo ipo nje kidogo ya manispaa ya mtwara
fanya ya fuatayo1 jishugulishe kama vile biashara 2,jichanganye na vijana wenzako ktk mambo mbali2 eg michezo,kilimo etc 3 usiwe mbali na mkeo,4 shiriki ibada kwa wingi,5 funga kila baada ya cku 2,jiepushe kuwa karibu na chumba au nyumba yako kila wakati
Nichemba maalumu iliopo ndani ya ofisi kwa ajili ya kutunzia vitu vya siri kama mitihani, vyeti vya wanafunz waliomaliza, faili za siri za walimu au watumishi na hata fedha sometimes still cabinet zaweza tumika kama strong room.umenipata wangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.