Search results

  1. SILENT WHISPER

    Kikwete amtembelea Kingunge baada ya kuruhusiwa leo

    wewe unataka kwenye picha hiyo kila mtu aonekane....!! mbona mtoto wake kinje haonekani hapo...kwa hiyo na yeye hampendi babake..?? akili za balimi hizo.
  2. SILENT WHISPER

    Kutoka Checkpoint, Pugu: Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Ilala 2015 kupitia CHADEMA, Muslim Hassanali ajiunga na CCM

    .....si angesema tu kiongozi MWEUPE.......ana ukubwa gani huyoo...???
  3. SILENT WHISPER

    Usinyoe nywele za sehemu za siri ukamaliza zote na kuacha kipara, zina umuhimu wake

    ni kweli....mm napenda japo demu anyoe kiduku kunako maeneo.....huwa zinasugua kwenye pua. utafiti hoyeeeeeeeeeee
  4. SILENT WHISPER

    Yaliyojiri siku ya 2 ziara ya Rais Magufuli - Mwanza: Azindua viwanda vya Victoria Moulders na Prince Pharmaceutical

    ila madiwani wa kununua sio.....watoa rushwa wanapandishwa vyeo...!! JIANGALIE.
  5. SILENT WHISPER

    Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

    ....FROM TUNDU LISSU...... Tundu Lissu: Dear members. Sorry to disturb y'all again. I'm relieved to have to inform you that I'm free, for now at least. A short while ago the Regional Police Commander for Dodoma came into the courtroom to personally inform me that he's under no instructions to...
  6. SILENT WHISPER

    Dodoma: Tundu Lissu agoma kutoka nje ya Mahakama akihofia Polisi, wamshauri atoke hakamatwi..

    ...mtu unashikwa na hasira hadi unashindwa useme nn....!!! nisije tukana bure. .. tumuachie Mungu.
  7. SILENT WHISPER

    Sinza Vs Tabata wapi Maarufu kwa bata

    hizi maeneo kwa Tabata ni sheeeda 1. forty forty 2. micasa 3. the great 4. kwetu pazuri.... ukitaka ndoa ife shinda maeneo hayoo.....full bata.
  8. SILENT WHISPER

    Mbowe: Alichokisema Lissu ni kauli ya CHADEMA

    sijui mtu kama huyu unamsaidiaje jamani.....!! tutaanza kuulizana elimu zetu humu jamvini..!!! engage your brain b4 u spit nonsense....!!
  9. SILENT WHISPER

    Mbowe: Alichokisema Lissu ni kauli ya CHADEMA

    kwa hiyo wewe unadhani ni vita ya ngumi au..??? kwamba wengi watashinda..?? kama ni ngumi mm mwenyewe naweza kumpiga magufuli...!! ni vita ya kisheria...!!!
  10. SILENT WHISPER

    Piga Kura ya Lissu kufunguliwa Mashtaka mapya..

    ni kweli kabisa kamanda lissu....!! endelea kuwachana. uchwara mtupu !!! kama anajifanya anajua udiktetA awafanyie famile yake...!
  11. SILENT WHISPER

    PICHA: Daraja jipya la Kigamboni lageuzwa dampo

    shinyanga ndio umeona umetembea saana....??? hovyoo..! tembea uone !!! nchi inanuka hii....mshamba ni ww unaedhani nchi hii ni safi....
  12. SILENT WHISPER

    PICHA: Daraja jipya la Kigamboni lageuzwa dampo

    mnashangaa hiyo mifuko mitatu....!! piteni DART maeneo ya manzese mjionee takataka kwenye kila nguzo ya taa....!!NCHI HII NI AIBU....!!
  13. SILENT WHISPER

    Ipe Maneno Picha hii

    pazia...!!! miaka kumi mlangoni.
  14. SILENT WHISPER

    Edward Lowassa Mtu wa Watu!!!

    kuna kipindi huwa natamani kuuliza elimu za baadhi ya wachangiaji....!!! not more than std 7.
  15. SILENT WHISPER

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    kipaumbele cha kwanza..ELIMU....cha pili ...ELIMU....cha tatu ..ELIMU. hao majaji hovyooooooo...............!!! sheria ipo wazi kabisa, ni mita 200. hamtoweza kuzuia nguvu ya umma...!!
  16. SILENT WHISPER

    Wakati Magufuli na CCM wakiandelea na blah blaaah za fly over, angalia wa Kenya

    wewe unadhani akili kubwa ni kukariri pages...?? poleee. mbona kiwete huwa hotuba zake zoote anasoma...?? jibu hoja acha kulete ujinga.
  17. SILENT WHISPER

    TCRA yaipa onyo kali TBC1 kwa kosa la Ubaguzi wa kusoma habari za Magazetini

    huyo mshana anaogopa yasimkute ya tido mhando....!!!! mchumia tumbo.
Back
Top Bottom