Search results

  1. R

    Vijana kufanya kazi ya saidia Fundi mwisho mwaka mmoja tu zaidi ya hapo unatakiwa uwe fundi au uachane nayo

    Nbona watu mnaongea mambo na mnachanganya mambo...hapa tunazungumzia kazi ya kusahidia Fundi....ambayo haitaji kuingia Darasana aseee wewe vipi?
  2. R

    Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

    Kweli jamaa namkumbuka sana kipindi kile cha Hawamu akiwa waziri Elimu...kuna kamgogoro flan hivi tulikafanyaga akiwa na Naibu waziri wake anaitwa somebody Mrugoo walituzingua sana...Ila huyu Mwamba alikuwaga Mpole sana ata ukikutana nae anaongea poa sana.
  3. R

    Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Mabasi ya Mtwara, Lindi na Tanga na zile bots za pemba na ugunja huwezi kuta nyimbo za Roze muhando wala bahati bukuku...ni swaga za Istaadh kipozeo na Nyundo wakisindikza kwa kaswidaa kwa mbaaaali.
  4. R

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Huyu jamaa kumbe ni mnene hivi??,ndo mana kumbe uwa anaandikaga Ujinga mana watu wanene wataalam wanasema wanakuwaga na akili Finyu.
  5. R

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Kuna Mijinga humiu imekaza mama kaupiga mwingi kaanzisha miradi ya kila namna kumbe moradi hewa,anakumbatia wapigaji na wakwepa kodi ingawa riport za CAG zinafumuka kila siku...Huyu Jamaa alitakiwa kuwa na damu nyingine huku Tamzania....
  6. R

    Shinyanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Khasante sana mpwa kwa kunielewa na kukubali yaishe,Siasa na hoja za matusi mnazianzisha nyie wanachadema.
  7. R

    Shinyanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Ata wewe naweza kukuokota nikakupeleka getto nikakupelekea moto akili ikukaa vizuri.
  8. R

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Wewe ni kichaa Kusifia Jazzy Band,ishu sio kuongea majukwaani au bungeni wamepeleka hela tu,hizo hela zimefika huko zote,mradi umeanza na umeisha na wana Geita wanapata hayo Maji?..alichofanikisha i Royal Tours.
  9. R

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Asee ata mimi uwa nawashangaa sana na uwa nabaki najiuliza huyu mtu anatoka kimara mpaka Posta bus tupu halina abria anatumia mafuta au maji,hayo mafuta hesabu yao uwa ikoje?
  10. R

    Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    Huyu katengeneza movie ya Royal tours,kauza masai huko mbugani na kuleta wauhuni wa DPW.
  11. R

    Shinyanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Lissu sio mtanzania...ndo mana bungeni juzi walikataza uraia wa Aina mbili..sema wakaupa urai wa heshima.
  12. R

    Shinyanga: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Hakuna wajanja waliomuondoa Mabeyo alishasema alikufa kwa ugonjwa wa Moyo,kama unayo list ya hao wajanja wataje MISIKI wewe!!!
  13. R

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Hana mradi kaanzisha bwana...sema ni bingwa wa kukopa tu,anakopa analeta watu wanapiga anarudi tena kukopa analeta watu wanapiga....alafu yeye yupo kimyaaaa...Ni ajabu kuwa Rais wa karba kama yake.
  14. R

    Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

    Sasa soko si mradi wa manispaa na Jiji?,kwani lilivyoungua lile la karume mchikichini si wamejenga Wamachinga na manispaaa?. Mradi alizindua ni wa kuwaamisha wamasai,DPW NA ile movie yake ya Royal Tour...huyu mama kafeli sana katika hawamu za hivyo tumewai pitia kama taifa ni ya huyu Mama na JMK.
Back
Top Bottom