Search results

  1. D

    Hivi Mbowe anaweza kufanya jambo lipi katika siasa?

    orodhesha sifa zake tano nzuri?
  2. D

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    umenena sawa vema............................
  3. D

    Watanzania wengi hasa vijana wanataka bora mabadiliko

    Umenena vema sana,japo najua vijana Wengi hawafikiri kama wewe,kinachoendelea kwa sasa ni ushabiki .
  4. D

    Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili

    It is obvious you are NOT matured intellectually,vinginevyo ungejibu hoja kwa hoja na siyo hayo manenO machafu au ndiyolugha uliyozoea?????????????????
  5. D

    Lowassa akikumbuka kutubu, atasema na hili

    mabailiko ni nini?mabadiliko yanini? kutoka wappi na kwenda wapi?na nani tanayemtegemea kuleta haya mabadilko? kaa chini utafakari kwa kina inawezekana hujui uachoksema.
  6. D

    Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    mimi ninakubaliana nawewe kabisa ila ukitaka kujua aina ya watu tulionao katika nchi hii soma commnents mbalibali ndani ya mtandao huu,utaona jinsi watu wasivyo weza kupingana kwa hoja ila kwa matusi na hoja nyepi sana, inatisha sana kuwa na watu wengi wa aina hii ni hasara kubwa kwa Taifa.
  7. D

    Kosa kubwa la Chadema ni kuwanyima Watanzania uchaguzi

    mimi si mwanchama wa chama chochote lakini kwa hili ulilolisema ingekuwa ni maksi ningekupa mia ya mia,jambo la kusikitisha zaidi watanzania wengi tu wavivu mno wa kuchambua mambo tunabaki kushabikia tu mambo yanayohusu mustakabali wa Taifa kama mchezo wa simba na yanga,lakini najua watu wengi...
  8. D

    UKAWA bado upo chadema wanalitumia neno hilo kuombea kura? Nishawishini

    kiukweli kuna chadema tu ndani ya mwavuli wa ukawa,vyama vingine ndiyo wame danganyika na watajistukia hawana hata wabunge watano kwenye bunge lijalo.............too late by then.
  9. D

    Mbowe asalimu amri kwa Slaa

    time will tell.........................October is not far
  10. D

    Wasomi watanzania: Wakili Lissu mfano wa mchumia tumbo na aibu kwa Chama Cha Mawakili

    ukweli niupi?ebu tueleeee??????????????????//
  11. D

    Mbowe na Lissu mpigieni magoti Dr. Slaa na Lipumba warudi kuokoa jahazi linalozama

    mwaka huu imedhihirika ulivyo mdogo uwezo wa wa Tanzania wengi katika kupambanua mambo ya msingi inashangaza jinsi watu wanavyoshabikia uchaguzi mkuu na hatima ya nchi kama mchezo wa mpira wa yanga na simba?mmh inashangaza sana,
  12. D

    Alinipa penzi ili nimuingize kazini, imebuma, anatishia kuja kazini kuharibu

    umenichekesha sana kusema mmefahamiana.... unaoga kusema umezini naye kama mara 12,jamani mara zote hizo? si kama umemfanya mkeo tu? mmh? unamsaliti mkeo mara zote hizo halfu umeokoka?
  13. D

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    umeamua kula matapishi yako mwenyewe? ebu tutajie mambo makuu matano uliyoyafanya ulipokuwa waziri mkuu,walau ya maana na ya kukumbukwa? tama tamaa tu ya madaraka hamna linguine..............
  14. D

    Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    mfumo maana yake nini? kwani mfuno si ulitengenezwa na watu hao hao? leo watakuja na mfumo gani mwingine kama watu ni walewale? UCHU WA MADARAKA TU HAMNAA LINGINE. period!
  15. D

    Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

    sijaona mantiki ya uliosema ebu elezea hao viumbe wanapitia njia gani kumwingia mtu?pili hiyo chuni inasaidia nini?nahisi hii taarifa ni matokeo ya hisia zako tu hamna ukli wa kisayas
  16. D

    Selelii awavua nguo Rostam, Lowassa

    Ni dhahiri Chadema/ukawa wameamua kula matapishi yao wenyewe... poleni sana! you proved your weakness!! no principles anymore, maana mna CCM -CHADEMA, who is who?
  17. D

    Wizara ya Ujenzi yamuaga Rais Kikwete rasmi, yamzawadia trekta

    kwa hiyo unataka kugombea nafasi gani chadema?kama si uchu wa madaraka ni nini? mwaka huu tutaona mengi?
  18. D

    Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

    kumharibia mwenzako ni kitu cha maana cha kuzungumza? je wewe ungefanyiwa hivyo ungejisikiaje?au unafikiri wewe ndiyo mtu mzuri sana unayeweza kumfurahisha huyo msichana? upuuzi tu? jipime kwenye mizani yako mwenyewe maana kwenye mizani yangu umepwaya sanaaaa ...utoto au rubbish? watu hujisifia...
  19. D

    Nimemharibia rafiki yangu ili niwe na mpenzi wake

    shame on your face, ulion huo upuuzi ni kitu cha maaana sana cha kuandika humu? hujakua bado?
Back
Top Bottom