Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

Maternity imeisha dadaaaa? Angalia mwanao asipate kwashiorkor, ungelea kwanza ndio upate kuhangaika na maisha yasiyokuhusu
 
Masikini Juliana Shenzi, "Chemba" kakutumia weeeee, kakuharibia mpaka uwezo wa kupata mtoto huna tena. Pole sana mama, kuna kamsemo kanasema "Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu", sasa ulimwengu ndio unakufunza ubaya wa kutumika ovyo.
 
Kubishana na hawa nyumbu ni heri kuendelea na shughuri zako ama ukaishia kusoma post na kusema ..Jf imevamiwa na ndo maana sahivi sie wenye kujua tumeamua kujiweka kando kuliko kung'ang'ana na wanywa viroba huku Jf, tutarudi hapa jukwaani 25 kuwapa salaamu zao toka kwa Magufuri ...sahivi tunalog off, wasalaam wanywa viroba na ubishi mwema hapa Jf.
 
Kwi kwi kwi... leo hii Shonza ana ionea huruma Chadema na kuishauri!! Haya ni maajabu ya Karne!! Vipi mbona hatukuoni kwenye kampeni za CCM kama mwanzoni ulivyokuwa haukosekani kwwnye majukwaa ya CCM!? Au ndio ushatumika kimwili na kisaikolojia na sasa huna jipya wala msaada kwa CCM!?

CCM Ina wenyewe. Huyu dada walimtumia tu pale walipo amini atawasaidia kutokana na kale kaushawishi alikokuwanako mwanzo na aliahidiwa vingi. Baada ya kale ka umaarufu kuisha alishabaki kuwa used toilet paper. Tupa kuleee. Kazi kushinda mitandaoni na vipropaganda vya kitoto. Hii ndio FISIEM
 
Kubishana na hawa nyumbu ni heri kuendelea na shughuri zako ama ukaishia kusoma post na kusema ..Jf imevamiwa na ndo maana sahivi sie wenye kujua tumeamua kujiweka kando kuliko kung'ang'ana na wanywa viroba huku Jf, tutarudi hapa jukwaani 25 kuwapa salaamu zao toka kwa Magufuri ...sahivi tunalog off, wasalaam wanywa viroba na ubishi mwema hapa Jf.
 
Hivi huyu mdada naona kale ka Ubunge ka Kiti Maalumu Kamemzuzua kabisaaa, asuburi tarehe 25 October 2015 watanzania tunaenda kuandika Historia mpya kwa Taifa letu na huo Ubunge wako hutauona kama vile NAPE NNauye ambaye atatoweka kwenye historia ya Siasa maana hatapata Ubunge na CCM itakufa kifo cha Mende.
 
mimi ninakubaliana nawewe kabisa ila ukitaka kujua aina ya watu tulionao katika nchi hii soma commnents mbalibali ndani ya mtandao huu,utaona jinsi watu wasivyo weza kupingana kwa hoja ila kwa matusi na hoja nyepi sana, inatisha sana kuwa na watu wengi wa aina hii ni hasara kubwa kwa Taifa.
 
CCM Ina wenyewe. Huyu dada walimtumia tu pale walipo amini atawasaidia kutokana na kale kaushawishi alikokuwanako mwanzo na aliahidiwa vingi. Baada ya kale ka umaarufu kuisha alishabaki kuwa used toilet paper. Tupa kuleee. Kazi kushinda mitandaoni na vipropaganda vya kitoto. Hii ndio FISIEM
Ha ha haaa.... hapo alipo roho ina muuma sana, CCM hawamtaki kwakua hana jipya tena. Na hata ukatibu wa wilaya wa CCM kakosa achana na ukuu wa wilaya. Too bad bora aende ACT Zitto anaweza kumtumia kidogo.😃😃😯
 
mimi ninakubaliana nawewe kabisa ila ukitaka kujua aina ya watu tulionao katika nchi hii soma commnents mbalibali ndani ya mtandao huu,utaona jinsi watu wasivyo weza kupingana kwa hoja ila kwa matusi na hoja nyepi sana, inatisha sana kuwa na watu wengi wa aina hii ni hasara kubwa kwa Taifa.
Sera za Nyerere za nini ilhali zili fell!! Sisi tuna fuata sera za Singerpore ambazo ndizo sahihi na zime onesha mafanikio. Singerpore walianza na ELIMU na UTAWALA BORA then waka improve vitu vilivyo bakia kama Makazi na Biashara na utalii. Na hicho ndicho UKAWA wana fuata na sio sera ambazo zilifell kila mahali na hazikuwa na baraka za wataalam. Ila usidhani wala kufikiri Mimi si muheshimu Nyerere, na mheshimu Nyerere na uafilifu wake na uzalendo wake. Ila sera zake zili fell alitakiwa aanze na Elimu kama wenzetu wa Asia walivyo fanya.
 
Hivi ccm unaipigia kampeni pande zipi?
Naona umefunikwa mpaka na akina wema..
Mwigulu naye kakutosa timu ya kampeni...
Poor lady..changes we need
 
Wakati mwingine watu hufanya maamuzi, maamuzi ambayo huenda yakawaletea mafanikio makubwa ama kuwaangamiza kabisa..ni kutokana na uzuri ama ubaya wa maamuzi hayo na matokeo ya maamuzi ndio huleta faraja ama kilio kwa aliyeyafanya.

UKWELI unaoishi ni kuwa Watanzania, Waafrika na hata dunia inamtazama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kama Icon muhimu ya Utawala bora na Uongozi uliotukuka. Katika Miaka takribani 25 ya kazi yake akiwa Rais amejijengea heshima kubwa kwa watanzania na wasio watanzania.

Jambo kubwa ambalo hata leo Dunia inampongeza Mwalimu Nyerere ni kwa ile sifa yake ya UADILIFU na HURUMA kwa waafrika wenzake na falsafa ya kuhimiza UMOJA.

Zamani kidogo, ktk awamu ya nne Mwanzoni, Wakati huo CHADEMA kikijitambulisha kama Chama Cha UKOMBOZI kilimtumia Mwalimu Nyerere kama kiigizo, kikajibrand kuwa wao ni zao la Mwalimu, ni watu wanaokuja kutimiza ndoto za Mwalimu Nyerere ambazo CCM walionekana wameachana nazo.

12046934_985959618137105_7029330193901292940_n.jpg

Viongozi wa CHADEMA wakajiweka karibu na familia ya Mwalimu Nyerere, watanzania wakaipenda CHADEMA na wakawa na matumaini na CHADEMA kuwa wataziishi ndoto na hekima za Mwalimu, na walikaribia kabisa kuwaaminisha watanzania kuwa wao ni MWALIMU na kwamba Mwalimu anaishi ndani yao...ilibaki kidogo sana watanzania wawaamini na wawakabishi nchi.
12038451_985959588137108_4017874470585827761_n.jpg

Viongozi wakuu wa CHADEMA (wa wakati huo) wakiwa na mtoto wa Mwalimu Nyerere.

12047088_985959544803779_4918528039745136191_n.jpg

Mama Maria Nyerere akiwa pamoja na Viongozi wakuu wa CHADEMA.

12096211_985959558137111_741570772105841178_n.jpg

Viongozi wa CHADEMA wakiweka mashada ya maua katika kaburi la Mwalimu Nyerere, Kijijini BUTIHAMA.

Sijui kilichowatokea....sijui kwa kweli lakini ghafla akaingia mtu ndani ya CHADEMA ambaye akashinikiza kuwatoa na kuwanyamazisha wale wote waliokuwa na imani na itikadi za MWALIMU, akawataka CHADEMA na UKAWA kutangaza vita ya bayana na Mwalimu, na familia ya Mwalimu, na Itikadi za Mwalimu na wasahau kabisa kuhusu ndoto za Mwalimu..

Leo hakuna mkutano wa CHADEMA ama UKAWA ambapo utaona BANGO la MWALIMU NYERERE, hawatumii hotuba za Mwalimu kufikisha ajenda zao, taswira ya Mwalimu imekuwa ni mwiba kwao, kwani CCM wanamtumia Mwalimu kufikisha ajenda zao na kuwabomoa wapinzani baada ya Wapinzania wenyewe kwenda kinyume na Mwalimu Nyerere, na hivyo kupoteza Credibility yote waliyokuwa nayo.

12075038_985959554803778_3258965604603564118_n.jpg

Mabango yaliyokuwa yanatumika kwenye Kampeni wakati huo.

Leo CHADEMA na UKAWA imejikita katika kueneza PROPAGANDA, sio ku-address matatizo ya watanzania kwa uhalisia wake ili wawakomboe, bali wanashindana kwa Photoshop, Hacking na Video Converters..haya sio ambayo watanzania wanayatarajia..UONGO hauwezi kuwa njia sahihi kwa Upinzani kufanikiwa..

USHAURI WANGU:
Na natoa ushauri huu nikiwa Mwanachama wa CCM, tena mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi, ila naamini kama alivyoamini Mwalimu kuwa CCM madhubuti itatokana na Upinzani madhubuti, ili uwe unawakumbusha CCM wanapojisahau na kwa kufanya hivyo maendeleo yapatikane. Siamini kuwa Uimara wa CCM utatokana na Upinzani dhaifu, siamini kuwa salama ya CCM ni kufa kwa Upinzani, bali naamini salama ya CCM na WATANZANIA itatokana na CCM IIMARA yenye Upinzani madhubuti.

Sikia, CHADEMA achaneni na MAFISADI waliokuja na timu ya wezi wenzao, then jifanyieni reform mnaweza kueleweka baadae, ikiwa MTAJISAHIHISHA..EDO ni Mwizi amekuja na kundi la wezi wenzake na anaungwa mkono na wezi,,,kwanini mnamkumbatia na kujishushia credibility mliyoijenga kwa jasho na damu kwa miaka mingi..??

Kwa mwaka huu mmeshachelewa, but it's never toooooo late.,anzeni sasa, jipangeni upya, rudini kwenye mstari, jengeni imani Upya, simamieni misingi na muwaite waliosusa akina Mnyika na mshawishini BABU arudi ama hata achangie mawazo,,nimefanya kazi na watu hao, nafahamu uwezo wao, CHADEMA ya leo inazidi kwenda mrama kila uchao...JISAHIHISHENI.
Safi sana.Lakini ndugu yangu hawa watu hata uwape data za ukweli kiasi gani hawapendi na hawajishughulishi kutafakari na kufanya utafiti wowote.Ila nafurahi umewapa ukweli wa mambo ulivyo.Ujumbe umefika,mwenye masikio na asikie
 
Wewe utoe ushauri kama nani? Kwa nini ushauri wako usiwape viongozi wako wa CCM na hasa Nchemba. Upo CCM mambo ya Ukawa hayakuhusu. Kama unaipenda ukawa hamia sio unaleta umbea
Kwani anayepaswa kuishauri chadema ama Ukawa ni nani..? labda ukinijibu juu ya sifa na wajihi wa mtu huyo ninaweza kujipima na kuona kama nakosea kushauri ama napatia.
 
Hivi ccm unaipigia kampeni pande zipi?
Naona umefunikwa mpaka na akina wema..
Mwigulu naye kakutosa timu ya kampeni...
Poor lady..changes we need
11986946_508883005952630_6606064683633210224_n.jpg

Ni mwendo wa kijiji kwa kijiji kuomba kura za madiwani ,wabunge na Rais wetu Magufuli, Wana Mbozi wameitika wameahidi ushindi wa kishindo kwa CCM.#HAPA KAZI TU
 
Sera za Nyerere za nini ilhali zili fell!! Sisi tuna fuata sera za Singerpore ambazo ndizo sahihi na zime onesha mafanikio. Singerpore walianza na ELIMU na UTAWALA BORA then waka improve vitu vilivyo bakia kama Makazi na Biashara na utalii. Na hicho ndicho UKAWA wana fuata na sio sera ambazo zilifell kila mahali na hazikuwa na baraka za wataalam. Ila usidhani wala kufikiri Mimi si muheshimu Nyerere, na mheshimu Nyerere na uafilifu wake na uzalendo wake. Ila sera zake zili fell alitakiwa aanze na Elimu kama wenzetu wa Asia walivyo fanya.
Mhhh...kaaaazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom