Search results

  1. PrinceLee

    Ukienda ugenini Kuna vitoto vinapenda sana sifa

    Hayo matoto siku hizi mengi yana zaliwa na autism,yaani usonjo yanakuwa na utundu hatarishi kabisa na wazazi wengi hawajui
  2. PrinceLee

    Nimemgombeza askari wa usalama barabarani, wenzake wameniomba msamaha

    Vijana mna masifa kweli kweli mkipata vi cheo kidogo tu basi ,sasa ulimgombeza Askari alikuomba wewe hiyo rushwa?
  3. PrinceLee

    Tujuzane machimbo yetu pendwa ya nyama ya kitimoto

    Double wallet kwanza hapo kirumba au The joint isamilo
  4. PrinceLee

    Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

    Kikwetu mtu akijiua unachukua mkuki wa chuma unaupasha moto then unamwingiza kwenye nya!pyuuuu unautoa hiyo unKua umetoa nuksi hiyo ya mtu mwingine kujiua katika familia yetu au ukoo wetu.
  5. PrinceLee

    Vitu gani husababisha Wanawake wanune?

    Una mwacha na mkojo
  6. PrinceLee

    80% ya Wanawake Tanzania ni 'omba omba'

    Nadhani ni jambo zuri sana kumuhonga mwanamke yaaani ni fahari ya kiume hata jogoo akikuta punje za mahindi hali atamwita kwanza mtetea adonoe kwanza na wewe ofcoz ukihonga kuna ka kitu unapewa bwanaaaa
  7. PrinceLee

    Umasikini ni laana katika nchi kama Tanzania yenye raslimali kila mkoa

    Hizo Rasilimali wewe kama wewe unazifanyia nini ?hata ukipewa gunia la Tanzanite je utalichemsha upate hata supu?
  8. PrinceLee

    Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

    Ujinga wa ndugu yako mzigo mzito na kuubwaga huwezi.
  9. PrinceLee

    Nilitapeliwa nikinunua tarakilishi

    Ujinga bado ni mwingi sana nchi hii
  10. PrinceLee

    #COVID19 Leo ndo nimeamini COVID-19 ni hatari

    Pia chemsha karafuu ni nzuri unakunywa kikombe cha chai ni kali ila ni nzuri kwa limonia au kichomi
  11. PrinceLee

    Je, umewahi kutafakari baada ya kuondoka kwako duniani?

    Ni kama tu vile hukujiandaa kuzaliwa hata kufa utakufa tu bila maandalizi.
  12. PrinceLee

    Utayarishaji chapati kwa kutumia sponji ni tishio kwa afya ya mlaji

    [emoji1787][emoji1787]watu wachokozi sana
  13. PrinceLee

    Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Ukishaelewa tafsiri ya neno ubakaji ndio utajua kuwa kumbe hata wewe umeshawahi kubakwa mara kadhaa na mkeo Au Mwanamke wako tu.Kwa kifupi ni hivi ubakaji ni tendo la ngono la kulazimishwa kufanya bila kuridhia yaani mkeo akikulazimisha kufanya na wewe hujisikii huyo kakubaka tu.
Back
Top Bottom