Search results

  1. Honey Faith

    Be Trippin'

    Makubwaa??🤦‍♀️🤦‍♀️
  2. Honey Faith

    Naombeni ushauri vyakula gani vinasaidia kuongeza maziwa

    Pika uji uwe unaweka pilipili manga yakutosha wanadai inavuta na kuongeza maziwa
  3. Honey Faith

    Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?

    Yote hayo yatapendeza zaidi kama mkiishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe
  4. Honey Faith

    E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

    Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
  5. Honey Faith

    Mrejesho: Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Sijasemea kuhusu muonekano nachosemea ukitembea na HG unapunguza heshima ndani ya nyumba
  6. Honey Faith

    Mrejesho: Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Hamna kisingizio hapo ndio maana mnaweza kujizuia kwa jamaa zenu wa karibu but why ikifika kwa watu wengine ndio hizo nanihii zenu zishindwe kujizuia?
  7. Honey Faith

    Mke wangu anapenda "kuvunjwa miguu" imekua changamoto kwenye familia yetu

    Sehemu gani nimeandika kuonyesha sitaki huyo anayevunjwa kuendelea kuvunjwa miguu?
  8. Honey Faith

    Mrejesho: Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Niongeleshe kiswahili tafadhali maana kizungu kwangu mtihani
  9. Honey Faith

    Mrejesho: Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Hatukai nyie kupenda tunachokataa ni muwe na limitation kwenye huko kupenda kwenu
  10. Honey Faith

    Mrejesho: Beki tatu hajawahi kumuacha baba mwenye nyumba

    Sijapata hata mda wakusoma ngonjera yako labda uisummarize kidogo nikuelewe
  11. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Tuendelee kuwapa somo kuna siku watatuelewa
  12. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Aiseee ila wanasema asiyefunzwa na ***** hufunzwa na walimwengu ngoja tuanze kumfunza kidogo kidogo
  13. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Ishia huko huko maana mie sina hela za kukuhonga
  14. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Nilichogundua mpaka dakika hii tunabishana na watoto ambao na wao pia wanataka kulelewa hivyo hawawezi tuelewa
  15. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Hawezi kulalamika maana kanipenda kwa umaskini wangu na raha ya mwanaume akuhudumie
  16. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Sasa mambo ya mama yamefikaje hapa?Mbona mnakosa adabu nyie watoto?
  17. Honey Faith

    Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

    Chukua soda kwa mangi nitakuja kulipa
  18. Honey Faith

    Mke wangu anapenda "kuvunjwa miguu" imekua changamoto kwenye familia yetu

    Nadhani yeye huwa anavunjwa maana nikimuonaga miguu inakuwaga kama anashindwa kutembea
Back
Top Bottom