Wadada wenye pesa wana mapenzi ya dhati sana kuliko wasio nazo

Ukishamtongoza tu basi ujue anakuwa jukumu lako sio la wazazi wake. Ukitaka awe jukumu la wazazi wake basi usimtongoze muache na wazazi wake.
Tukiacha kuwakutongoza nyie si huwa mnaenda kushinda kwa waganga wa kienyeji

Mna nini sasa nyie tukianzisha mgomo hapa si mtatafutana
 
Tukiacha kuwakutongoza nyie si huwa mnaenda kushinda kwa waganga wa kienyeji

Mna nini sasa nyie tukianzisha mgomo hapa si mtatafutana
Uzuri ni kwamba kuweka mgomo hamuwezi kabisa. Kwahiyo 'baby' pambana tu na uanaume wako. Huo ndio uanaume sasa.

Tulichonacho ndicho hicho hicho kutwa manakililia na kukifungulia thread.
 
c ndo 2naolewa na mana zenu.. umenielewa kibonge?
Kibonge mie nina matata unadhani. At least ume declare umarioooo.
Lakini kama unajijua wewe marioo,basi huna tofauti na wadada wanaoomba ela wakifanya mapenzu na wapenzi wao.
Tofauti tu wao wanafanywa na wewe unafanya,tuliza mshono.
Uwe na amani sasa mariooo.
 
Uanaume sister espy punguzen njaa then tafuten kaz za kufanya
Tatizo lako unatembea na wanafunzi alafu unatujumuisha wanawake wote. Ngoja nimtafute Ndalichako.
Mwanamke atafute kazi ya kufanya ya nini wakati wewe mwanaume upo?
Ukiona hauwezi basi tulia tafuta kazi na pesa kwanza "baby" mapenzi yapo tu utayakuta ukishapata pesa.
 
London Boy leo umeleta uzi wa kuwanyoosha na wamepata ukakasi kweli kweli..

Asee leo ngosha inaonekana umeamka vizuri. Hongera kwa kuthubutu kuwachana live
Ndo hivyo mkuu nimejitoa mhanga kiongoz

Wamenichosha mkuu kutwa vimeseji vya kuomba pesa utazan sisi ndo wazaz wao

Kaz kufanya hawatak ukiwachana ukweli wanatokwa povu
 
Kibonge mie nina matata unadhani. At least ume declare umarioooo.
Lakini kama unajijua wewe marioo,basi huna tofauti na wadada wanaoomba ela wakifanya mapenzu na wapenzi wao.
Tofauti tu wao wanafanywa na wewe unafanya,tuliza mshono.
Uwe na amani sasa mariooo.
mimi sio mario nimekujibu ushuzi kwa kuleta topic ya kiushuzi ushuzi. ustoke nje ya mada fanya kazi tafuta hela zako acha kuombaomba ka matonya
 
Back
Top Bottom