Search results

  1. N

    Halmashauri Vs Ajira za kilimo

    Wana Jf nimejaribu kuulizia baadhi ya halmashauri za wilaya wengi tumeambiwa twende nyumbani na tutajulishwa kupitia namba za simu. je tatizo ni nini kutuweka mtaani tena badala ya kwenda kuwajibika kwa wakulima na maeneo yanayotuhusu? mwenye mawazo chanya na majibu nayaombu kwani DALDO wangu...
  2. N

    Kwa wasailiwa wa kilimo, mifugo na uvuvi machi 4, 10-14

    Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma Dakika 57 zilizopita· Taarifa. Wasailiwa wengi wa kada za Mifugo, Uvuvi na kilimo waliofanya usaili tarehe 4 Machi, 2014 Mikoani na tarehe 10-14, Machi, 2014 Dar es Salaam wamekuwa wakiulizia kila mara ni lini majina ya waliofaulu na kupangiwa...
  3. N

    Naombeni msaada wenu.

    Mimi ni mhitimu wa mafunzo ya kilimo Diploma naliambiwa serikali itatoa ajira toka 2012 mpaka sasa hatujui ni lini sepikali itatoa ajira izo pia hata wenzetu wa mwaka huu nao wamemaliza na hawajui kinacho endeleea, hivo ndugu zangu kwa yeyote mwenye taarifa za wizarani anijuze kinacho endelea...
  4. N

    Je, kuna ukweli wowote?

    Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu morogoro kwa mafunzo maalum ya kujiunga na diploma ya ualimu. Wajulishe wengine kwa maelezo zaidi wasiliana...
  5. N

    Je, kuna ukweli wowote?

    Kama kunamtu unaemfaham aliemaliza form6 kuanzia 2003 mpaka sasa masomo ya SAYANSI na kupata (S S S) yani (IV-18, au (SS) IV-19 wanaombwa kufika moja kwa moja chuo cha ualimu morogoro kwa mafunzo maalum ya kujiunga na diploma ya ualimu. Wajulishe wengine kwa maelezo zaidi wasiliana...
  6. N

    Wataalamu wa KILIMO 1804 kuajiriwa

    Wataalamu wa kilimo 1,800 kuajiriwa JIBU LA SWALI LA MBUNGE BUKOBA VIJIJINI na Mwandishi wetu, Dodoma SERIKALI imesema wataalamu wa kilimo 1,804 wanatarajiwa kuajiriwa na katika mwaka huu wa fedha. Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima, alisema bungeni jana kuwa serikali...
  7. N

    Ajira za kilimo

    Ndugu na jamaa kwa yeyote anaejua ni lini ajira za kilimo zitatoka maana toka mwaka jana hawajatoa na mpaka sasa kupo kimya eitha watatoa au ndo imetoka cjajua. naomba kuwasilisha
  8. N

    Mbunge Kyela atoa Zawadi za Michezo

    Ni Mbunge na waziri wa uchukuzi Dr. H. Mwakyembe leo ametoa zawadikatka mashindano Kata ya Ipinda Kyela kwa timu zilizofuzu mashino hayo. Mshindi wa tatu kajinyakulia tsh.200,000, mshindi wa pili ts.300,000 na mshindi wa kwanza tsh.500,000 na mpira, ikiwa mshindi wa pili na watatu walirushiwa...
  9. N

    Kilimo kwanza

    Kwa mwenye Taarifa za ajira kwa MAAFISA KILIMO, MIFUGO na FUNDI SANIFU tujuzane jamani mwaka umeisha tunasikia tetesi mwezi ujao na mara ifikapo kimya. Kwa mwenye taarifa rasmi basi.
Back
Top Bottom