Search results

  1. L

    Smartphone original

    wadau kumekua na maduka mengi yanauza smartphone ambazo sio original. naomba nielezwe ni wapi ntapata original
  2. L

    Waliowahi kufumaniwa watupe ushauri

    Jamani kumekuwa na mivutano mingi sana kuhusu michepuko kwamba ni dili ama sio dili. Wakati watu wanasisitiza kubaki njia kuu wengine wanadai njia kuu kuna foleni na kwamba wao sio malori hata wabaki njia kuu. Sasa nafasi hii inakwenda kwa waliowahi kufumaniwa tuu, wote wanawake kwa wanaume...
  3. L

    Sikujua kabisa kumbe bibi yangu ni mganga wa kupata mtoto

    Mwaka juzi dada yangu alikuja nyumbani kututembelea pamoja na rafiki yake. huyu rafiki yake baada ya kutambulishwa na maongezi bibi alimuulizia habari za familia watoto hawajambo? yule dada (niseme tu mama maana alikua wa makamo kidogo karibu sawa na dada yangu yapata miaka 40 hivi) akamjibu...
  4. L

    Nani anajitambua zaidi kati ya mwanamke na mwanaume?

    Binafsi nimeona wanaume wenzangu wengi ambao wameweka bia mbele na kusahau school fees ya watoto. Nimeona wengi pia walioyatoa maisha yao katika starehe na mwishowe kustaafu katika umaskini. Lakini sijaona wanawake ambao wamesahau kabisa school fees ya watoto na kupeleka salary yote TBL...
  5. L

    Network marketing

    This epidemic is really widespread in TZ and elsewhere. people are neglecting their formal and professional jobs to join this kind of new business they call it network marketing. It involves selling products which they call nutritional supplements, aloevera products and some cosmetic products...
Back
Top Bottom