Search results

  1. M

    Bomoabomoa TAZARA muda huu, ambulance nazo zipo

    Pole yao!!!! signature yako kiboko.
  2. M

    Kodi hii ipunguzwe

    Tunaumia sana tunategemea mheshimiwa raisi atalifanyia kazi kwa sababu alilizungumza wakati anazindua bunge.
  3. M

    Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

    Sasa kama ndio hivyo hii pekuapekua ya vyeti fake wengi wataondoka.
  4. M

    Kinondoni: Mhandisi Natty atua Dar es Salaam, ana lundo la nyaraka

    Kwani siku hizi amesilimu anaitwa Daudi Bashite?
  5. M

    Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Si walisema gesi ikfika kinyerezi mgao wa umeme utakuwa historia?
  6. M

    Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Vipi kuhusu ile ahadi ya gesi? si walisema gesi ikifika Kinyerezi mgao wa umeme utakwisha?
  7. M

    Marangu tour: Exploring Africa together!!

    Pistol Thats very good but i think you can specify even the climbing gears charge.
  8. M

    Bomoabomoa ya maeneo ya wazi yaendelea leo mtaa wa Basihaya Bunju jijini Dar

    Lakini kama naona bomoabomoa siisikii tena labda zoezi limekwisha.
  9. M

    January Makamba naamini amepata cha kujifunza

    Kitufe cha like sikioni.
  10. M

    Bomoabomoa ya maeneo ya wazi yaendelea leo mtaa wa Basihaya Bunju jijini Dar

    Nasikia kuna watu wamejenga ufukweni mwa bahari ndani ya kiwango au eneo lisilotakiwa kujengwa vipi hao nao bomoabomoa itawapitia?
  11. M

    Ikulu na Wizara ya Afya lugha gongana

    Alaaa kumbe!!!!!!
  12. M

    Cannelloni pamoja na nyama ya kusaga

    Jamani mbona tunatoana mate?
  13. M

    Angalizo kwa Mbowe, Mnyika, Kubenea, Mdee, Tundu Lissu

    Kikatiba raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ana nafasi 10 za kuteua wabunge.
  14. M

    Natafuta magari ya zamani

    Hahahaaaaaaa you make my day! ningekuwa mchaga ningeulizia Toyota stout 1900.
  15. M

    Ujenzi wa Fly-Over - TAZARA

    Mkuu tusubiri uchaguzi ufanyike tuletewe story nyingine.
  16. M

    Natafuta magari ya zamani

    Ni kweli hiyo miaka ya 80.
Back
Top Bottom