Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, wanaume wa mikoani wote kwa ujumla tumeshtushwa sana na swala lililotokea Dodoma, hii kutokana na malalamiko kutoka wanaume wote wa kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini, kusini mashariki na kaskazini kwa ujumla isipokua tuu wanaume wa Dar ambao kwa namna...
Habari zenu humu.
Ok, twendeni kwenye mada kwa ambao washawahi kua na wapenzi wenye Kithembe tushee uzoefu kidogo. Binafsi mwenza wangu ana Kithembe alafu Ni nimuongeaji Sana ingawa ana Kithembe mungu huyu...!!!
Sasa shida inaanza inapotokea nimemchukiza kitu akiwa analalamika au kunikanya hua...
LG G pro
used for two monthes
has a single crank but every thing works perfectly
specifications:internal memory 22GB
camera 13megapixel
android yake ni kit kat
hili ni dili la leo leo ambae yupo amevutiwa namba hii hapa a text tu no calling #0686297599
budget yangu laki 5 nafta smartphone ambayo ipo katika hali nzuri kwa yoyote ambae yupo interested anitajie aina ya simu kupitia sms my no is 0718319771. nikivutiwa nayo tufany deal as soon as possible natoa cash sitaki long longo.
naona kila mtu ana furaha na chuo chake alichochaguliwa hata mimi pia ila naanza kupata mashaka na hiki chuo ambacho mimi nimepangiwa hamna updates zozote kwenye website yao kuhusu sie tunaoenda kuanza hata majina ya ambao tumechaguliwa pale mpaka leo hawajaweka kuhusu usahili pia hola kama hili...
nimepitia majina ya selected candidates ya UDSM ni kweli GS imefanya yake mwanzoni nilikua nabisha humu humu jukwaani but leo nimeamini...hongera kwa ambao mmepata nafasi pale nadhani zile GPA tu za walochaguliwa zinajieleza.
jaman mm nmechaguliwa ardhi ila napata was was sana kama kweli kuna mademu wa kutosha maana nikiangalia hamna education,business administration,public administration wala hzo nyngne za arts kwa ambao mnakijua vzur hki chuo naomba ufafanuzi mm nachojua pekee kuhusu hki chuo kwamba kipo karibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.