simu inauzwa fast deal.

simu inauzwa fast deal.

man of steel

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,099
Reaction score
2,356
habari zenu wakuu TECHNO P3 with single crack inauzwa haraka haraka #0686297599 bei yake ni 100000 tuuu kwa picha namba hyo hapo.
 
Mbona unakuwa mgeni na jukwaa hili ..???
Picha na specifications za cm husika n muhimu ..!!
 
Tecno P3 with a crack unaiuza 100,000/=???

Au umezidisha sifuri moja?
 
dukani kwa muhindi anakuandikia had risit kwa 90,000/=, au iyo yako inatoa juice???!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom