Search results

  1. kutwamara3

    Iran iko tayari kwa vita na Marekani, Israel

    Mkuu wa Vikosi Vyote vya Majeshi ya Iran amepuuzilia mbali vitisho vya Marekani kuhusu kuishambulia kijeshi Iran na kusema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa vita vya kuamua mshindi na mshindwa baina yake na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni wa Israel. Akizungumza leo Jumatano, Meja...
  2. kutwamara3

    Mchumba mwema anahitajika

    Mimi ni kijana niliopo nje ya nchi nikibangaiza maisha,binti au mwanamke yeyote aliye tayari anipm kwa tupeane details zaidi
  3. kutwamara3

    Bacherol of medical lab.in haematoloy and that of clinical chemistry

    Wakuu naombeni msaada kwa yoyote anaefahamu hii course ya hapo muhas,kuanzia mshahara na ajira zake.
  4. kutwamara3

    Anataka mke huku bado mwanafunzi

    Wakuu,habari za leo mimi nina rafik yangu ambaye alipokuwa kidato cha sita aliweka dhamira ya kuoa pindi atakapopata chuo.Bahati nzuri alipata chuo nje ya nchi(Mozambique) ambapo anatakiwa kusoma 6yrs (M.D).Yeye ni bkra (23yrs).Sasa je inawezekana?
  5. kutwamara3

    Msaada wa haraka

    Wakuu naombeni msaada kwa anaefahamu ipi ni faculty nzuri kati ya bacherol of medicine na Medical lab.sciences interm of income na competition ya ajira.
  6. kutwamara3

    Zawadi ya 1mil US Dollars kwa msichana bikra ambaye ni 18+yrs atakae jitokeza!

    Habari zenu wakuu,kama heading inavyojieleza hapo juu,nina rafiki yangu yupo Denmark kimasomo lakini amehitimu mwaka huu.Rafiki yangu huyo anamiaka 26,hajawah kusex hata siku moja ndio maana anatafuta mwenza mwenye sifa kama yake.Wenye vigenzo mniPM.
  7. kutwamara3

    Msaada

    Wakuu naombeni link ya kudownload tamthilia ya cobra squad ile ya kenya,iliyokuwa ikirushwa na kituo cha ntv.
  8. kutwamara3

    Jiko la kinyamwezi linatafutwa

    Nipo serious, wakuu natafuta mchumba mnyamwezi awe anatoka Tabora au sehemu yoyote ile. Ila awe radhi kuishi nje ya nchi, suala la elimu sibagui hata kama awe ameishia darasa la 7. Tahadhari najua kuna watu mtaiponda hii thread lakin nipo more than serious ewe binti wa kinyamwezi ambaye upo...
  9. kutwamara3

    Natafuta binti aliyefeli form four

    Natafuta binti ambaye hakufaulu form 4 ambaye natarajia kumuoa pindi atakapopatikana,pia mpango wa kumuendeleza kimasomo ninao.Alie tayari aniPM
  10. kutwamara3

    Natafuta mke wa kuoa

    Wakuu habari zenu mimi ni kjana ambaye bado nipo masomoni chuo lakini nimedhamiria kuoa. Age iwe 18+ wala kabila sio tatizo kwangu ila huyo mke anatakiwa awe muislam.Mengine tutazungumza private na ambaye atakuwa tayari.Kwa yule aliye tayari ani PM
Back
Top Bottom