My take, extend probation kwa miezi mitatu ijayo then itakapo isha ndo maamuzi yafanyike. Ila anauwezo wa kukugeuzia kibao kuwa umemkomoa kwa kuwa alikumwaga. kuwa mwangalifu usije kudestroy reputation yako.
Mpira wa miguu umeaibishwa. TFF wanalipalilia hili na tutegemee kuona madudu ya ajabu kwenye ligi. Kama wamesogeza mbele tarehe ya usajili ili kufurahisha timu waipendao si ajabu wakapangiwa marefa wa kuchezesha ligi. Aibuu!
Labda niwakumbushe. Ni nani aliyechukua uamuzi mgumu wa kutoa maji ziwa victoria pamoja na wamisri kugoma? ni nani aliyevunja mkataba wa city water? ni nani aliyeshauri mkataba wa richmond uvunjwe? ni nani aliyesimamia ujenzi wa shule za kata na alipoondoka kila kitu kikasimama?,. Naomba tuwe...
Tarehe 22/5/2012 nikiwa Mwanza airport nilishuhudia abiria waliokaa airport zaidi ya four hours wakiambia 540 flight is cancelled. Nilikuwa na wenzangu wanakuja Dsm for a meeting next day morning thanks precision walikuwa na nafasi wakalazimika kukata tiketi kuondoka ndege ya saa tatu usiku. 540...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.